Kenya yapiga marufuku uingizaji wa gesi(cooking gas) kutoka Tanzania kupitia mipakani

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Serikali ya Kenya kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini amepiga marufukuu uagizaji wa gesi ya kupikia kutoka Tanzania kupitia mipaka ya nchi hizo.

Katibu Mkuu huyo amesema gesi itaaingia Kenya kupitia bandari ya Mombasa tu. Nia serikali ya Kenya inataka mradi wa kuweka gesi hizo kwenye mitungi uwekezwe Kenya.

Siku za hivi karibuni kutokana kwa kupatikana kwa gesi hapa Tanzania wakenya waliagiza gesi kupitia mipakani mwa nchi hizo mbili na kuiweka kwenye mitungi kinyemela. Gesi kutoka Tanzania ilinunuliwa kwa bei nafuu.

Chanzo: Daily Nation of Kenya

The Ministry of Energy has banned imports of cooking gas through the Kenya-Tanzania border, raising the possibility of a shortage and surge in the price of the commodity.

Petroleum Principal Secretary Andrew Kamau on Monday said traders will not be allowed to import gas imports via land borders in a week’s time.
The move, according to Mr Kamau, is meant to eliminate illegal cooking gas filling plants which have cropped up in various parts of the country posing safety and security risks.

“The Cabinet Secretary has written a letter to Energy Regulatory Commissions, Customs and Kenya Bureau of Standards and designated Mombasa as the only point of import for LPG. So if you want to play in this game, come and invest in Kenya, import through Mombasa and then we can now follow up who is supplying unlicensed dealers. But now this whole thing about Tanzania is a thing of the past,” Mr Kamau told a briefing for the oil marketing companies organised by Kenya Pipeline Company.

Mr Kamau later confirmed that the full implementation will begin before the end of the month, which implies this week.

The OMCs had complained of being undercut by the illegal gas refillers who take their cylinders, fill them and return them into the market.

The ban is, however, likely to catch the dealers who rely on the gas from Tanzania unawares as most of them denied knowledge of the plan.
Energy Dealers Association said it was yet to receive communication regarding the ban.
 
Habari yako haina chanzo ni mawazo yako tu,gesi inayotumika majumbani haijawahi zalishwa Tanzania, gesi ya kupikia ni nzito sana ndio maana haiwezi lipuka hovyo ikivuja inatapakaa chini,gesi inayozalishwa mtwara ni nyepesi na haiwezi tumika kupikia katika mfumo unaotumika sasa, hivyo hakuna gesi ya kupikia inayozalishwa Tanzania labda useme urahisi wa bei tofauti na Kenya ndio umesababisha wakimbilie gas ya huku,nimetumia lugha nyepesi kuelezea sikuingia kwenye lugha za organic chemistry.
 
atakuwa alipata habari yake akiwa amelala.......
 
Hahaha hawa jamaa hawaishi chokochoko
wameanza kuona wanapumuliwa sikioni
sasa wanatafuta sababu na chuki,
Tanzania imeamka
miaka ya 90 ukienda Dukani 80% vitu ni kutoka Kenya
Sasa hivi Mambo yamekuwa Tofauti
na kila kukicha visa,Uchokozi na Fitna.
Wakianza wewe Maliza
 
Back
Top Bottom