mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,781 Reaction score 6,481 Sep 28, 2018 #41 Mwanzi1 said: The paper says otherwise, labda kuna loans zingine serikali inachukuwa haiwaambi.View attachment 880371 Click to expand... Maji maji rebellion kwa kila namna...kama hao ndio walikuwa wahenga wenu basi naona kwa jinsi gani mpo pale LDC.
Mwanzi1 said: The paper says otherwise, labda kuna loans zingine serikali inachukuwa haiwaambi.View attachment 880371 Click to expand... Maji maji rebellion kwa kila namna...kama hao ndio walikuwa wahenga wenu basi naona kwa jinsi gani mpo pale LDC.
Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,999 Reaction score 4,591 Sep 28, 2018 Thread starter #42 Kafrican said: Mimi niko na official scanned govt documents zinazoonyesha $5B . Hizo nyengine ni story za vijiweni Click to expand... Your word against theirs. Kuna loan zingine zinapitia third party lakini if you trace the money, it goes back to the Chinese. Kwani mkinunua viatu, lipstick na cheap phones kutoka china mnawalipa mnakipa vyote cash? (Letter of credit)
Kafrican said: Mimi niko na official scanned govt documents zinazoonyesha $5B . Hizo nyengine ni story za vijiweni Click to expand... Your word against theirs. Kuna loan zingine zinapitia third party lakini if you trace the money, it goes back to the Chinese. Kwani mkinunua viatu, lipstick na cheap phones kutoka china mnawalipa mnakipa vyote cash? (Letter of credit)
Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,999 Reaction score 4,591 Sep 28, 2018 Thread starter #43 mwaswast said: Maji maji rebellion kwa kila namna...kama hao ndio walikuwa wahenga wenu basi naona kwa jinsi gani mpo pale LDC. Click to expand... Post zako zinatuambia lizima utakuwa unaota LDC usingizini.
mwaswast said: Maji maji rebellion kwa kila namna...kama hao ndio walikuwa wahenga wenu basi naona kwa jinsi gani mpo pale LDC. Click to expand... Post zako zinatuambia lizima utakuwa unaota LDC usingizini.
mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,781 Reaction score 6,481 Sep 28, 2018 #44 Mwanzi1 said: Post zako zinatuambia lizima utakuwa unaota LDC usingizini. Click to expand... Nikiwaona tu! Huwa naona LDC hata uvundo wenu hivo hivo.
Mwanzi1 said: Post zako zinatuambia lizima utakuwa unaota LDC usingizini. Click to expand... Nikiwaona tu! Huwa naona LDC hata uvundo wenu hivo hivo.
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,807 Reaction score 16,477 Sep 28, 2018 #45 mwaswast said: Bila kusahau Tz ni LDC alafu mnatudanganya huwa hamkopi. Click to expand... Ahaaa haaa haaa you never gave a sensible hold.
mwaswast said: Bila kusahau Tz ni LDC alafu mnatudanganya huwa hamkopi. Click to expand... Ahaaa haaa haaa you never gave a sensible hold.
Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,999 Reaction score 4,591 Sep 28, 2018 Thread starter #46 mwaswast said: Nikiwaona tu! Huwa naona LDC hata uvundo wenu hivo hivo. Click to expand... Wasema opposite attracts, tunaona vile tumekubamba.
mwaswast said: Nikiwaona tu! Huwa naona LDC hata uvundo wenu hivo hivo. Click to expand... Wasema opposite attracts, tunaona vile tumekubamba.
mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,781 Reaction score 6,481 Sep 28, 2018 #47 Mwanzi1 said: Wasema opposite attracts, tunaona vile tumekubamba. Click to expand... Kabisa babaa.
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,310 Sep 29, 2018 #48 Mwanzi1 said: Swali langu, Kenya ilifanya nini kibaya ambacho South Africa hawawezi kusamehe and move on with trade links. Free visa is part of mutual trade ties. Click to expand... Ni kwasababu Jomo Kenyatta alikuwa anashirikiana na makaburu wakati wa apartheid.
Mwanzi1 said: Swali langu, Kenya ilifanya nini kibaya ambacho South Africa hawawezi kusamehe and move on with trade links. Free visa is part of mutual trade ties. Click to expand... Ni kwasababu Jomo Kenyatta alikuwa anashirikiana na makaburu wakati wa apartheid.
Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,999 Reaction score 4,591 Sep 29, 2018 Thread starter #49 Chamoto said: Ni kwasababu Jomo Kenyatta alikuwa anashirikiana na makaburi wakati wa apartheid. Click to expand... Inaonekana hii dhambi ni ngumu kumeza kwa wa SA weusi.
Chamoto said: Ni kwasababu Jomo Kenyatta alikuwa anashirikiana na makaburi wakati wa apartheid. Click to expand... Inaonekana hii dhambi ni ngumu kumeza kwa wa SA weusi.