Nadhani swala zima la kupigwa sio sawa, iwe kwa mwanamke, mwanaume, hata watoto haswa watoto. Kweli kuinua mkono, na kumchapa mwenzio vibao ama ngumi za haja hadi kumtoa damu, uvimbe ama maumivu makali - unaeleza vipi hilo? Hakuna cha jinsia hapa! Sio sawa.
Mifumo kandamizi ni ya ajabu sana! Watu nilazima wajiulize, kwahiyo wanaume wakipigwa sio sawa ila wanawake ni sawa ama? Maana kihostoria wanawake ndio wamekuwa ngoma! Nadhani, wote wanawake na wanaoume wanaopigwa wagome kula makwao itakuwa safi zaidi!
Kupigwa sio kitu kidogo jamani!
Jamaa mmoja huko kenya alikuwa na kawaida hata maongezi yakiwa matamu vipi ikifika saa moja lazima arudi home. Siku moja jamaa zake wakamlazimisha abaki, ila jamaa alikosa amani kabisa na kilaji akastop kupakia. Baada ya pombe kuwakolea wale wenzie by saa nne wakaamua kurudi home, wakamdrop yule jamaa kwake.
Wife wa yule jamaa alitoka kama mbogo aliyejeruhiwa kaanza kumfokea na kumkunja mmewe mbele ya jamaa. Jamaa yake mmoja sababu ya pombe alisahau kuwa pale siyo kwake akamfikiri ni mkewe, akamkunja yule mama na kumpa kichapo. Jamaa alipoona kaokolewa akakimbilia ndani bila kutia neno.
Yule jamaa alipozinduka kuwa si mkewe alikuwa mpole ghafla na kwenda kwake. Baada ya wiki alimuita jamaa kwa minajili ya kumuomba msamaha, jamaa alienda kwa furaha na kumpa offa ya bia kwamba alisaidia kumpa mkewe somo.
Jamaa kauliza somo gani, kamwambia huwa anachezea kichapo kwa mkewe, sasa siku ile mkewe alipopigwa na jamaa yule mama aligundua utamu wa kichapo kawa na heshima home.
Isingekuwa tabu, bahada ya kukupiga anakupa dawa, kama Maundumula alivyotanabaisha.M/Mungu apishie mbali jambo hilo lisinikute...
Kupigwa na mkeo?! Mi ningekondaje....?!
Hao ni wanaume rijali.
Usifanye mchezo na wanawake wa kenya ni soo...anakupa kichapo na anakulazimisha um "do"
hhahahahahhahahah, kichapo unapokea na ku ''do'' una um ''do'' kha hao wanawake ni kiboko ndo mana wanaume wengi wakenya wakija arusha wanawang'ang'ania wadada wa arusha kumbe wanakimbia kipigo kwao.
wanawake wa Kenya mabaunsa sana nini?
haiingilii akili mwanaume na ndevu zako ukakubali knockout kwa mwanamke
au vidume vya Kenya afya mgogoro vinauzito wa unyoya?
hhahahahahaha!Ndo maana naichukia Beijing KUMBE INASEMA MTUPE KICHAPO?
thubutu si bora nikimbie!
Mmmmmh!
Hii beijin wenzetu wameiput in action,
Hakuna wanaume wa kikurwa huko?
Au nao wanapewa vichapo pia?
Ukiona hivo ujue yamesha mkuta,ame furahi wenzake kumlipia kisasi
ingawa sio kwa mumewe.
WANAUME nchini KENYA leo wanaanza mgomo
wa siku sita wa KUTO KULA NYUMBANI kupinga vitendo vya
KUPIGWA na wake zao.
Huh,hivi hawa ni wanaume kweli au mashoga?
Au ndo wale wanao tunzwa na majimama?
Au ndo wale walo olewa wanakaa nyumbani kusubiria
mke alete kila kitu?
Wakenya mna tuaibisha.........
M/Mungu apishie mbali jambo hilo lisinikute...
Kupigwa na mkeo?! Mi ningekondaje....?!
hhahahahahhahahah, kichapo unapokea na ku ''do'' una um ''do'' kha hao wanawake ni kiboko ndo mana wanaume wengi wakenya wakija arusha wanawang'ang'ania wadada wa arusha kumbe wanakimbia kipigo kwao.
Hilo hata mie nalijua,Weeeeeee,thubutuuuuuuu.
Mkurya hata kama wewe ni baunsa mheshimu tu.
Maana ukimpa kichapo ata lainika,ila lazima akuvizie na atakulima kichapo
ambacho utabaki kuwa mlemavu tu..............
kwa kabila letu kupigwa na mwanamke niaibu kubwa saana siwezi ruhusu initokee hata kama kuna beijing zaidi ya 100hhahahahahaha!
Usikimbie mkuu,unakomaa na kuvumilia tu,
ukikimbia atakaribishwa mwengine lol!
Mkuu hujakutana na mijabali mwanamke linakukamata mpaka mwenyewe unakimbia, ukiona hivyo umekutana na wachovu wengine wanakuwa kana wanapepo na kama unadhani utamkomoa ni wewe utajikomoa kwa ku do saana.Yaani ushanipa kichapo alafu unanilazima niku"do" Utakomaje, nikipanda sishuki lazima na mimi nikutoe mchozi! kila nikikaribia kuvunja dafu! navuta hisia za kipondo ulichonipa, dafu linaota mbawa, kudadeki! mwenyew utahairisha mpango wako kuwa ukinipiga unilazimishi niku"do"
Hilo hata mie nalijua,
Ninachojiuliza ni kwamba huko kenya hakuna makabila yenye wanaume km wa kikura mpaka wanakuwa wanapigwa na wake zao mapaka waanzisha migomo!!!
Duh,...
hahaha,hakyanani hata kama mke wangu ni "first lady" wa nchi
hanipigi,otherwise unabeba chako kimya kimya unasepa.
Kusema unapigwa na mkeo ni aibu isiyo pimika.
Kwanza ni waKURYA sio wakura kama ulivo andika.
Hawa wanapatikana sehemu za Nyanza,kisii na isebania kwa wingi
katika upande wa kenya.
Kwenye ramani angalia sehemu nyekundu ndipo wakurya walipo jaa kwa pande zote za kenya na Tanzania.
Wanaume wanao pigwa kenya sio wakurya,(wengi wako nairobi na mombasa) na haitatokea mkurya apigwe na mke wake
na akifanya hivo basi labda amuue kabisa maana hata akimuacha kilema ajue atakufa yeye
jamaa akipata nguvu za kunyanyuka.
Wakurya ni kabila moja,...lakini lililo gawanyika katika makundi yaitwayo
"Kibhara", kama vile Nyabhasi, Bhakira, Bhairege, Bhagumbe (hawa wako kote kenya na Tanzania),
Bhatimbaru (kama mimi hapa), Banyamongo, Bhakenye, Bhaikoma,
Bhamerani, Bhanchari,Bhairege,........huh wengi sanaaaaaa.
So wako kenya pia,lakini uwepo wao huko haufanyi kuwa wapole ama
wakali kwa sababu "mashoga" wanapigwa na "wake zao"..................
Haha,sio kwamba mwanamke akipigwa ni sawa hapana.
Lakini sidhani kama na wewe unaona ni kitu cha kawaida mwanaume
kupigwa na mke wake afu akaenda kulalamika hadharani,.....
Na sababu anayo toa eti ni kwakua wanawake wame wezeshwa
na wameendelea kuliko wao so wanataka wakopeshwe hela pia,....
Does that sound from a man?
Yaani wameshindwa hata kuwa majambawazi,.....ops i dont mean it.