Kenya, vyanzo vichache vya Umeme, wana matumizi Makubwa, hawana Mgao kama sisi

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,720
6,528
Kenya vyanzo vyao vya umeme ni vichache sana ukilinganisha na vyanzo vya umeme vya Tanzania. Kenya wana matumizi makubwa sana kutokana pia na kuwa na Viwanda vingi sana, kwa EAC wao ndio wana matumizi makubwa wakifuatiwa na Tanzania.

Ila Kenya huwa hawakumbwi na migao ya mara kwa mara ingawa piia huwa inawatokea ila sio kwa kiwango cha Tanzania, Tanzania ni hii imekuwa ni utamaduni wetu kuwa na migao isio isha.

Kuna possibilities hii migao saa zingin nu hujuma za kutafuta tebda za dharura za kupiga oesa kama ilivyo tokeaga kwa Richimond. Sitaki kuamini kwamba ni migao real.

Tanzania tuna migao ya Umeme too much, nashindwa kuelewa huu utitiri wa mabwawa ya kuzalisha umeme yana msaada gani?Gesi ina msaada gani? Kama tunacjimba wenyewe na still tumeshindwa kuitumia ina maana gani?

Na kwa awamu hii na utawala huu wa anaupiga mwingi lazima tunyweshe maji kwa kutumia beseni.
 
Makamba ndo waziri wa nishati unategemea nini
 
Daah yaan hapo tuu ndo wanapotumaliza yaan maana daah kila sehem mgaho
 
Mpaka tunavoongea hapa umeme ushakata kitambo
 
Wana Taasisi Imara ya Ujasusi wa Kiuchumi.....

Suti wanazovaa zinaendana na Taswira ya Nchi
 
Si uhamie Kenya tu uepukane na adha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…