Kenya U20s Beat Brazil. Lets go Kenya

Mostly ni kuzaliwa. Ama they have a weird Kenyan ancestry, kama some guy who is in the British Army Unit Kenya but plays for the Kenyan team coz his dad is Kenyan(mzungu mkenya) and his mom is Welsh ata kama alizaliwa wales

Ubaguzi si jambo jema. Hususan wa rangi. Maana ni ngumu sana kwa mtu kubadili rangi, lakini dini, kabila, tamaduni, mila, nk. anaweza kubadili (in Mwalimu Nyerere voice).
 
Back
Top Bottom