Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
HAHAHAHA, Jamaa anaanza kutongoza polisi ndani ya court!!Hehehe Kenya sihami na sitaihama, hii nchi kila mtu ni starring kwenye movie yake...full vicheko tu. Huwa natenga dakika chache kila siku natiririka kwenye Youtube kwa raha sana nikitazama vichekesho vya kila aina.