Kenya seeks AU support on Sh2.5 trillion Lapsset project

Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
3,117
Points
2,000
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2017
3,117 2,000
Hizi ndoto zenu za kujipa matumaini ya hovyo ndizo zinazoifanya Kenya kuingia katika matatizo kila siku. Viongozi wenu wanatumia pesa hovyo kama kupeleka delegation kubwa kuliko nchi zote duniani huko USA, hata wakati wa kombe la dunia huko Urusi, wabunge wenu wengi sana walienda kwa pesa za serikali, badala ya kuzungumzia mambo hayo ili pesa zitumike vizuri, mnafikiria mambo ambayo hayana dalili zozote kufanyika.
Na wale wanaotumia pesa vizuri kujiendeleza iweje bado wamekwama katika like tope LDC? Au bado wanakomboa Africa?
 
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
1,374
Points
2,000
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
1,374 2,000
Man whats wrong with Kenya....SGR failed, eurobond, bullfing foreign debt, high graft rates.....your still adding insults to injuries
 
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
10,072
Points
2,000
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
10,072 2,000
Man whats wrong with Kenya....SGR failed, eurobond, bullfing foreign debt, high graft rates.....your still adding insults to injuries
Nchi yetu LDC ni zaidu. Cheki SGR hata km 50 zimetushinda, Madeni Tena ya Mabeberu, angalia ATCL hata safari za Entebbe ni shida, ufisadi, mafao ya waliostaafu hamna, Koroshow, utekaji nyara, kukandamizwa kwa viombo vya kupeperusha habari, angalia Bagamoyo, Kibaha highway pia imetushinda. Afadhali hawa Manyang'au Mara kumi hata umeme hapa Ni mgao na kule mikoa ya Kusini Hali tete miundombinu bure kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,326,747
Members 509,585
Posts 32,233,444
Top