Mwendo Safi
Member
- Oct 27, 2017
- 56
- 84
Wachaneni na watanzania bado wanaskiza muziki ya bongo
hayo sisi hatuyajui huu ni wakati wakufurahi tu wakunya pambaneni na hali yenuNa Geza msikae tu watanzania mkisherehea kwasababu pia nyinyi Mpaka yenu iko Vibaya,Ujue Somalia ikiweza kuchukua Tanzania pia iaanze kujitayarisha tunakuja pia,Na Tanzania pia itakuta Mozambique,Mozambique nayo ikute South Africa!!!Furahieni tuu hapo!!!