Kenya sasa namba tatu kwenye ushindani wa utalii

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,228
50,369
Taratibu tutafika wazeiya, tumeipiku Namibia sasa na kuwa namba tatu. Hatuna vivutio vingi, lakini vichache tulivyo navyo inabidi kujituma mithili ya sisimizi au mchwa, watatukoma tu hawa, tena hii Afrika tutabanana humu humu, hatutoki wala kuihama, humu humu tu...hadi kieleweke.

mara.jpg

Tourists enjoy a game drive in the Maasai Mara National Reserve. PHOTO | FILE NATION MEDIA GROUP

Kenya is now the third highest ranked sub-Saharan African country in terms of its travel and tourism competitiveness, according to a World Economic Forum report.

The report says that Kenya has moved ahead of Namibia into third position in the ranking, which includes factors such as the business environment, safety and security, health and ICT readiness.

However, Uganda is the most improved country in sub-Saharan Africa in the survey, moving up eight places to 106, 26 slots behind Kenya in 80th place.

Despite falling two places, Kenya remains one of Africa’s competitive tourist economies, but with no African countries in the world’s top 50, much still needs to be done to improve matters the report says.

The report says that despite sustained economic growth, travel and tourism “remains mostly untapped.”

TRAVEL COSTS

It adds that the biggest problems for travellers remain air connectivity, transport infrastructure and travel costs as well as visa policies and infrastructure.

Twenty of the 30 sub-Saharan countries covered by the report apply ticket taxes and airport charges above the world average

Significant concerns have been raised about the loss of some critical animal species, including large numbers of elephants across the continent, and the report says deforestation and habitat loss are becoming “problematic” in some countries.

Ten African countries have lost at least 7 per cent of their forests compared with the situation in 2000.

NATURAL TOURISM

“While tourism in the region is mainly driven by natural tourism, there is significant room for improvement in protecting, valuing and communicating cultural richness,” the report concludes.

The aim of the report, which covers 136 economies this year, is to provide a comprehensive strategic tool for measuring the set of factors and policies that enable the sustainable development of the travel and tourism sector

The World Economic Forum has, for the past 11 years, engaged leaders in travel and tourism to carry out an in-depth analysis of the travel and tourism competitiveness of 136 economies across the world.

The travel and tourism competitiveness index measures “the set of factors and policies that enable the sustainable development of the travel and tourism sector, which in turn, contributes to the development and competitiveness of a country”.

Destination Kenya gains ground
 
Hongereni majirani zetu ... mipango thabiti, kujituma, creativity, kuthubutu na kuwa na serekali yenye sera na mipango thabiti kuhusu utalii ndio kumewafikisha hapo licha ya kuwa na vivutio vichache . Hongereni mnooo . Mna kila sababu ya kutembea vifua mbele.
 
is it third after SA and Egypt because I know Egypt gets alot of tourists coz of the Pyramids and the Pharoahs...
 
is it third after SA and Egypt because I know Egypt gets alot of tourists coz of the Pyramids and the Pharoahs...
It's third in Sub Saharan countries, Egypt waondoe kwenye list, hivyo unajua tu ni nani no 2, mbabe wenu kwenye utalii East Africa si anajulikana.
 
Mna kila aina ya kivutio usitafute sifa za kijinga humu.

Dah! Tungekua na hata robo ya vivutio vya Tanzania mbona Afrika tungekua sisi ndio tunakopesha hela za miundo mbinu.
Hapo kwenu kwanza ni nchi mbili zilizounganishwa kisanii, yaani Zanzibar pekee yake ni kivutio tosha chenye usawa na akina Mauritius wanaowashinda kwa kila kitu, uzembe tu hamna chochote.

Tatizo ni uzembe na kutoijua au kuithamini nchi yenu. kazi kushobokea wanamuziki na siasa tu mkiwa kitaa, muulize Mtanzania yeyote akutajie vivutio vyao vya utalii walau vitano, ni wachache sana wataweza, wengi mnavaa milegezo mkiimba Bongo flavo basi na kula chips mayai Dar.
 
Haya umesomeka.
 
Mombasa ni kama Zanzibar kwa kwenu huko,fukwe zipo za kutosha. Mauritius wanawashinda nyie kwa utalii sio sisi. Kama sisi wazembe basi nyie ndio maiti kiutalii maana tumewazidi mapato ya utalii zaidi ya mara tatu.
 
Tanzania inaongoza Afrika yote kwa vivutio vya utalii, yaani Afrika yote hadi mnawashinda Afrika Kusini kwa vivutio ambao huwa wanawashinda mara karibia kumi kwa idadi ya watalii na kusanyo la hela.
 
Back
Top Bottom