lesere
Member
- Jan 31, 2013
- 14
- 0
Watanzania tumepigwa na butwaa kubwa baada ya Kenya kuzuia magari yetu kufika kwenye viwanja vyao kupokea wageni wanaokuja na kutokea Tanzania.Wengi tumekimbilia kulaumu na hata kumpandishia Nyalandu na viongozi wengine wa chama tawala na serikali kwa ujumla na hta kufikia hatua pia ya kutaka mfarakano na Kenya(Japo hawajafanya fresh kutuzuia ila wametumia tu udhaifu wetu)..Hayo yote ni sawa but ebu fikiria hili;
1)Viingilio vya watalii wa kujitolea (Volunteers permit) ni $500,na kafanya processing ya permit unalipia $50 so jumla ni $550 kwa raia wa nchi zingine isipokuwa Marekani ambao wanalipa $600. i.e $500 permit na processing $100.hiyo imefanya limiting ya volunteers kuja na ambao wengi wao ni wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wengi wao ndio wanapenda kusafiri....Sasa kenya wao kiingilio ni kiduchu na volunteers wanalipa kidogo sana hivyo mashirika ya kutuma volunteers kama village volunteers,IVHQ,gape international n.k wanafurika kenya na sio TZ.
So kwa akili yangu bungeni waziri walisema wanapandisha iyo bei ili kuzuia volunteers kuchukua kazi za wazawa...sasa labda watoe data ya baada ya kupandisha bei,ni watu wangapi wameajiriwa kwenye izo nafasi?volunteers wengi wanakuja kufanya kazi kwenye nyumba ya kulelea watoto kama kuwasafisha n.k...sasa ebu waza librazameeen katoka hapo UD utamwambia amtawaze mtoto?Lisistaduu limetoka hapo mitaa ya burger IFM atakubali kwenda Ketumbeine monduli kujitolea kuwaambia wamasai waepuke FGM?
Sasa unapoke volunteer mmoja anaelipa $500 ni mwanafunzi ataenda mbugani peke yake tutaingiza dola kama 1000 ivi kwa hoteli,park,driver guide nk but kwa Kenya iyo $500 inawaleta watatu mpaka wanne afu wote wakienda pori inaingia kama $4000.,to all stakeholders afu tunawaponda Wakenya...anagalia sera
Afu pia,wamarekani wengi wanaenda Kenya coz ya ubaguzi wanaofanyiwa kwenye malipo kwa wao kulipa cha juu.
2).Ni kwa kiasi gani tumewekeza kwenye utaliii...viwanja vinazingua,ndege hakuna,rushwa za kutosha...kingereza mzee ndo yes u know yes u know...watu tunanuna reception utadhani dagaa wa kigoma lakini mkenya akija....hilo lismile tu mzungu anaongeza siku...wekezeni huku wakenya wanatukimbiza mbaya huku...
3)..Marketing tufanye sio kwa moto wa kibatari kinachowashwa penye upepo.Wakenya wana maofisi kibao za marketing USA,UK and Germany na sehemu zinginie..Yale matangazo uwanja wa Sunderland yaongezeni mbona mnaingiza doo kibao asee..naaje hii mambo jamani????
4)..Fanyeni vitu kwa vitendo...wakenya wanajenga bandari kuuubwa africa...sisi ni pale mbegani..Barabara ya kuunganisha bahari ya hindi na Atlantiki ni uvumbuzi wa utalii mkubwa kwa kenya mpaka cameroon.na sisi kwa nini tusufungua mpaka condo drc na brazaville msitu wa congo mkaunganisha na utalii wa katavi??
Kila mara tunakuja kujibu hoja za wakenya hapa kwa kejeli lakini ukweli wako mbele sana kwa hatua sisi tunapiga porojo to...tumeweka hela nyingi ya kufanya kazi Tz lakini hapa arusha tu...shule zote za private zina walimu watatu au wanne kutoka kenya.Sio kwamba wamesomas kuliko sisi hapana,ndo bureaucracy iyo...Mpaka kijijini wapo...private primary schools mbili pale Katesh-Hanang-Manyara inawalimu kumi natatu wakenya na wengine wametumia vyeti vya watu kujisomea afu ndo useme control ipo???
Ni maoni yangu ila huo unaukweli kama utafungua macho.