Kenya kupendekeza sheria ya kulazimisha watu kutumia majina yao halisi kwenye mitandao ya jamii

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,356
7,992
Kenya will soon consider legislation that prohibits the use of fake names on social media accounts. The Kenya Film Classification Board (KFCB), the government body that regulates all visual media in the country, said a bill will be in parliament by the end of June. It has already received support from some lawmakers.

The film board’s chief executive, Ezekiel Mutua, didn’t explain how the policy would be enforced, but noted “when users commit a crime using a social media account, we should be able to identify them.”

Mutua, a controversial figure in Kenya, has previously been called Kenya’s censor-in-chief, a self-appointed “morality policeman” accused of overstepping his mandate. As the head of the KFCB, he banned advertisements featuring alcoholic drinks, betting, and gambling from running between 5am and 10pm. The film board also forced Coca-Cola to remove a kissing scene from a TV ad because it violated “family values,” banned musicians using obscene stage names, and warned that the introduction of Netflix to Kenya last year was a threat to the country’s “moral values and national security.”

In early January, the KFCB introduced a proposal that would expand its mandate, so it would not only regulate film stage and productions but online content as well. The move caused an uproar in the media and creative industries.

The move to ban pseudonyms on social media comes three months before Kenya heads to the polls. As more and more Kenyans use outlets like Facebook, Twitter, and WhatsApp to receive and share political news (pdf), the spread of hate speech has been a concern among officials. More than 1,200 people were killed following contested elections in 2007, and attempt to stoke ethnic violence spread rapidly on social media ahead of the 2013 elections.

The National Cohesion and Integration Commission, which was formed to ease ethnic tensions after the 2007 elections, has warned that “social media bandits” could use online tools to incite violence ahead of this year’s elections. The broader effect on free speech that could result from forcing all social media users to register with their real names is also worrying.
 
Somebody needs to read "The Federalist Papers" and the works of "Publius".

This Orwellian orangutan oozes Ottoman-like officious omburdsman's airs all over this politically porous hairs.
 
Stupidity of the highest order!..huyo Ezekieli kaharibikiwa, athubutu kuigusa uhuru wa mtu!..my social media account is my personal portal, its not a government website...worldover people use pseudo names hata wasanii..ama anajifanya mmiliki wa FB ,Twitter na iNSTA...aibu hana!..such a shame!
 
Kuna sababu kadhaa kwanini hili haliwezekani Kenya japo inaweza ikafaulu Tanaznia. Kule Tanzana wana sheria kwamba tovuti zote lazima zitumie Top Level Domain(TLD) ya nchi, yaani .co.tz, sasa ili kupata hiyo domain lazima usajiriwe na kufahamika. Ndio kinachomsibu muasisi wa Jamii Forums.

Sasa tukija Kenya, kila mmoja ana uhuru wa kuchagua TLD anayotaka, ikiwemo .com hivyo unaweza ukasajiri .com domain yako Marekani na kufanya hosting huko huko, hapo hutakua chini ya mikono ya serikali kwa vyovyote vile.
 
Yani ulivyo kuwq mpuuzi
umehama nje kabisa ya mada
kisa Tanzania,
huli,Hujisaidii,Hulali bila kuitaja Tanzania!!
Mada hapa ni Majina Kwa watumiaji wa mitandao
wewe unakuja na porojo!!

Nikushauri hiki nikipindi kigumu kwenu
jikite kuliombea Taifa lako
Hili lisije jirudia tena

Suala la majina Halisi ni jema na Zuri
hii mitandao inatumika hovyo sana
 
Muasisi wa JF leo hii yupo taabani kwasababu anashinikizwa aipe serikali majina ya kweli ya MOTOCHINI
Sasa sheria hiyo wanataka kuileta Kenya, ila kwetu haiwezekani maana website zetu unaweza ukasajili bila kuhusisha serikali. Leo hii kwenu labda utakua hujui, nakufahamisha tu kwamba sheria ipo lazima kila tovuti itumie .co.tz
 
Sasa mbona JF haina domain ya .co.tz....... Jamiiforums. Com
 
Yani ulivyo kuwq mpuuzi
umehama nje kabisa ya mada
kisa Tanzania,
huli,Hujisaidii,Hulali bila kuitaja Tanzania!!
Mada hapa ni Majina Kwa watumiaji wa mitandao
wewe unakuja na porojo!!

Nikushauri hiki nikipindi kigumu kwenu
jikite kuliombea Taifa lako
Hili lisije jirudia tena

Suala la majina Halisi ni jema na Zuri
hii mitandao inatumika hovyo sana

Duh, Inasikitisha kweli hii, Mara mia bora ya Congo kuliko haya.
Wakenya malizeni uchaguzi Salama.
 
Muasisi wa JF leo hii yupo taabani kwasababu anashinikizwa aipe serikali majina ya kweli ya MOTOCHINI
Sasa sheria hiyo wanataka kuileta Kenya, ila kwetu haiwezekani maana website zetu unaweza ukasajili bila kuhusisha serikali. Leo hii kwenu labda utakua hujui, nakufahamisha tu kwamba sheria ipo lazima kila tovuti itumie .co.tz
Wewe ushabiki umekutawala
na unapenda kuvutia kwako sikuzote,
Sheria si Masahafu
yaweza kubadilishwa muda wowote.
Sheria hii imeanza kutumika hivi karibuni
jiulize kama ingelikuwa inatumika Toka zamani
nivipi Jf ikawa na miaka 10 ikitumia Domain ya .com!?

unapo sema kenya haliwezekani
sijui unajifurahisha au la!!
Nisheria ngapi zimepitisha Bungeni au kufanyiwa Mabadiliko Kenya na wananchi baadhi wakapinga lakini hakuna kilicho badili mwelekeo!!?
Kumbuka hata katiba yakenya
walikuwepo Walio ipinga tena kwa nguvu na hoja
wengine Tulizani haita pita
lakini mbona kila Mkenya hana budi kuifuata hata kama kuna vitu anavijua havimpendezi mule!!

Mada ni kutumia majina halisi
ktk mitandao
 
Fuatilia sababu zinazomfanya muasisi wa JF apelekwe mahakamani, utapata jibu.

Sababu kubwa zilizompeleka Maxcence mahakamani ni kugoma kutoa majina ya watu wanaotafutwa na serikali. Vingine ni siasa kwasababu kuna taasisi nyingi ndani ya nchi hii zinatumia .com.
 
Back
Top Bottom