ata mozambique naona inawashinda madot ndogo ndogo kwani matown zenu ndogoWewe lia tu...🤣🤣Huwo umeme wote niwa wawekezaji hujamfikia the common mwananchi wa Kenya😅😅😅🤣🤣🤣 Sio mimi ni Satellite...Huwezi bishana na technology...😅😅😅Endeleeni kupika data😅😅😅 View attachment 988681