Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nchi ya Kenya ukiondoa labda Mombasa, ilikosewa uanzishwaji wake, walioianzishwa (Wazungu) hawakujali tofauti kubwa ya Kiutamaduni ya watu waishio nchini humo, ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya ukiondoa Mombasa ni matokeo ya Reli ya Mombasa - Uganda, Waingereza walivyoamua kujenga hiyo Reli ndiyo ikakusanya jamii mbali mbali zilizokuwa zinaishi ilikopita hii Reli lkn jamii ambazo zilikuwa hazina uhusiano wowote ule, siyo wa kilugha wala Kiutamaduni!
Tofauti na Tanzania ambapo zaidi ya 98% ya watu waisho nchini TZ ni Wabantu maana yake ni kwamba ni watu wa tamaduni, lugha na way of life zinazofanana au kukaribiana, na ndiyo maana ni Tanzania hakuna ethnics conflicts, na ugomvi pekee ulioko Tanzania ni Wafugaji dhidi ya Wakulima ambapo Wafugaji pia siyo Wabantu hivyo wana utamaduni mwingine ndiyo maana kuna conflict wakati nchi ya Kenya watu wake ni tofauti sana kuna Wabantu, sijui Nilotic, Semitc na hao wote ni idadi kubwa tu hivyo hawa watu hawawezi kuja kuunda nchi moja, yaani Taifa, kwa mfano ukienda huko Eastleigh kuna Wasomali ambao wala hawajui kama wako Kenya na ukimuuliza kuhusu Mkikuyu hajui chochote kwa maana hana ukaribu naye kwa chochote kile!
Hivyo nchi ya Kenya itajitahidi kupiga hatua kubwa kimaendeleo inavyotaka lkn kuna limitations, yaani kuna mahali hawawezi kuvuka, nitatoa mfano mdogo sana ni kawaida kwa kiongozi wa Kenya kusema ,,my people" akimaanisha watu wa ethnic group yake na siyo Taifa la Kenya, kitu ambacho Tanzania sijawahi kusikia Kiongozi akisema my people, kwa kawaida sisi tukisema my people tunamaansha Watanzania!
Hivyo kama ilivyo pia nchi ya Nigeria ambapo kwa mfano wa Igbo wanakwambia wako tofauti na Wayoruba na hawawezi kuishi pmj kwa maana hakuna kinachowaunganisha, nchi ya Kenya ni ngumu sana kuona huko mbele itasimama vp kwa maana matatizo waliyo nayo ni makubwa sana chukulia tu mfano hapa Tanzania Vyuo vikuu tuna wawakiishi wa vyama vya Kisiasa labda hata Mkoa wanayotoka lkn Kenya kuna wawakilishi wa ethnic groups vyuoni, kuna TV stations za ethnics groups, kuna Radio stations za ethnics group, kuna mpaka Hospital ingawaje siyo official lkn unaweza kusema ni za kiethnics mpaka Benki, ukienda restaurant kuna Migahawa ya kiethnics, bar ha kiethnics n.k sasa unawezaje kuondoa tofauti hizi zote?