Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,586
Wanajitekenya na kuchekea wenyewe. Hata ukipita pita Kenya na Tanzania kwenye masuala ya afya wala hawatutushi sana. In fact **** maeneo mengine tunaweza kuchukuwa kombe ukiangalia kwenye upatikanji wa bima kwa wanachi wa kipato cha chini au idadi ya watoto wanaolala kwenye vyandarua vinavyozuia mbu mpaka kwenye lishe tuko mbele.Umemaliza mkuu, ata Tz iko above regional average. Hiyo habari ya NMG heading ni Kenya iko above regional average halafu hawajaitaja TZ kokote kwakua tupo juu