Kenya wamewekeza kwenye kilimo cha mazao ya biashara zaid kuliko mazao ya chakula, wanauza sana mazao ya chakula nje ya nchi. Sasa hivi huko wanakouza hayauziki na wanaitaji zaidi chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
huwaga siyo shabiki wa politics au upande flani wa kisiasa lakini kwenye hili La kukataa kupiga lockdown naiunga mkono the government.
two women starved to death while waiting for government sponsored food.