Ssebo na Mtanzania, niwajibu kwa pamoja.
Katika hali ambayo kuna moto wa hasira, kero, hisia za kisasi na uchungu, matumizi ya maneno ni muhimu sana. Hakuna kitu kinachochoea zaidi hasira na maumivu ya kihisia kama matumizi mabaya ya maneno.
Wakati Kibaki anapaswa kulaumiwa na kuwajibishwa kwa vitendo na ukimya wake baada ya kuanza kwa vurugu, Raila anapaswa kulaumiwa na kuwajibishwa kutokana na maneno na vitendo vyake.
Pindi vurugu zilipoanza tu Raila alipaswa kusimama na kujiengua moja kwa moja na mambo hayo badala ya kudai "wananchi wanadai haki yao ya Kikatiba" n.k Raila kama kiongozi alishindwa kabisa kutumia ushawishi wake wa kupanga mkakati uliotulia badala ya kuonekana hajali kinachotokea huku akiendelea kumbebesha lawala Kibaki na kufikia kumuita Mwizi (kitu ambacho chaweza kuwa kweli).
Nitarudisha mfano wa mauaji mengine ili nisikike vizuri; Wakati wa mauaji ya Rwanda kilichoumiza zaidi ni ukimya wa baadhi ya watu na upande wa pili maneno ya upande mwingine kwa kisingizio cha kudai haki! Kama kweli Raila alitaka kuongoza mapambano haya na kuwa tayari kumwaga damu yeye ndiye angekuwa wa kwanza kutembea kwenda kule na apigwe Mabomu kama Mrema, na achapwe viboko kama kina Lewis wa Georgia..
Kama lengo lilikuwa ni kujaribu kutatua mambo haya kwa amani na kuonesha brutality ya serikali alikuwa na uamuzi wa kufanya mikakati ya maandamano ya amani (siyo kusema maandamano ya amani) kama walivyofanya Martin Luther na Gandhi! Raila ameshindwa hivyo.
Watu waliompigia kura Raila haiwezekani wote walikuwa watu wa makabila mengine na hakuna Mkikuyu aliyempigia kura. Kuna Wakikuyu wengi (hasa vijana) ambao waliona ndani ya Raila mabadiliko na matumaini ya mwelekeo mpya wa Taifa. Kitendo cha Raila kutojitokeza mara moja, kupinga, na kutojihusisha kwa namna yoyote na mashambulizi dhidi ya Wakikuyu au mali za Wakikuyu ni kitendo cha kushindwa uongozi, yes I said it!
Raila alikuwa na nafasi ya kuonesha umakini, uthubutu, ujasiri na ukomavu wa kisiasa. Badala ya kudai "ni vyombo vya serikali ndiyo vinafanya vurugu" Raila angetumia uwezo wake wote kutuliza moto huo huko akijipanga hatua inayofuata. Wote wawili Raila na Kibaki wanahusika moja kwa moja na mauaji na machafuko ya kisiasa nchini Kenya ni wao na timu zao lazima wakae chini na kutafuta suluhu bila kuweka masharti mapema.
Raila ana ushawishi mkubwa na ameshindwa kutumia ushawishi huo kutuliza Kenya na kwa maneno yake amechochea vurugu zilizotekea nchini Kenya baada ya uchaguzi. Endapo uchaguzi mwingine utaitishwa Kenya, msishangae Wakikuyu wengi waliomuunga mkono Raila wataaamua kubadili msimamo.
Binafsi naamini kabisa kuwa Raila ana sehemu kubwa ya kulaumiwa kutoka na machafuko ya kisiasa nchini Kenya kama vile Kibaki anavyolaumiwa. Yawezekana wengi wetu kutokana na kutaka "Raila ashinde" na baada ya kuona upuuzi na uhalifu uliofanyika katika kutangaza kura tumekuwa vipofu wa kufuata haki na hivyo kuchukua upande wa "anti-kibaki" ilimradi na sisi tuoneshe kuwa haki haikutendeka.
Swali:
Ukishajibu Maraisi wa Maswali haya matatu utajua kwanini nimesema hivyo!!! regardless walichukua je madaraka!!! hata M7 awamu yake ya Kwanza haikuwa kachaguliwa but he was the president of republic of Uganda.
Raisi wa Jamhuri ya Kenya ni nani?______________________
Raisi wa Visiwa vya Zanzibar ni nani?___________________
Raisi wa Jamhuri ya Zimbabwe ni nani?__________________
Hawa wote walikuwa na issues lakini kuna marais wao ambao wako madarakani mpaka sasa pamoja na issues zinazoendelea sasa za miafaka na kadhalika!!!
Ssebo na Mtanzania, niwajibu kwa pamoja.
Katika hali ambayo kuna moto wa hasira, kero, hisia za kisasi na uchungu, matumizi ya maneno ni muhimu sana. Hakuna kitu kinachochoea zaidi hasira na maumivu ya kihisia kama matumizi mabaya ya maneno.
Wakati Kibaki anapaswa kulaumiwa na kuwajibishwa kwa vitendo na ukimya wake baada ya kuanza kwa vurugu, Raila anapaswa kulaumiwa na kuwajibishwa kutokana na maneno na vitendo vyake.
Pindi vurugu zilipoanza tu Raila alipaswa kusimama na kujiengua moja kwa moja na mambo hayo badala ya kudai "wananchi wanadai haki yao ya Kikatiba" n.k Raila kama kiongozi alishindwa kabisa kutumia ushawishi wake wa kupanga mkakati uliotulia badala ya kuonekana hajali kinachotokea huku akiendelea kumbebesha lawala Kibaki na kufikia kumuita Mwizi (kitu ambacho chaweza kuwa kweli).
Nitarudisha mfano wa mauaji mengine ili nisikike vizuri; Wakati wa mauaji ya Rwanda kilichoumiza zaidi ni ukimya wa baadhi ya watu na upande wa pili maneno ya upande mwingine kwa kisingizio cha kudai haki! Kama kweli Raila alitaka kuongoza mapambano haya na kuwa tayari kumwaga damu yeye ndiye angekuwa wa kwanza kutembea kwenda kule na apigwe Mabomu kama Mrema, na achapwe viboko kama kina Lewis wa Georgia..
Kama lengo lilikuwa ni kujaribu kutatua mambo haya kwa amani na kuonesha brutality ya serikali alikuwa na uamuzi wa kufanya mikakati ya maandamano ya amani (siyo kusema maandamano ya amani) kama walivyofanya Martin Luther na Gandhi! Raila ameshindwa hivyo.
Watu waliompigia kura Raila haiwezekani wote walikuwa watu wa makabila mengine na hakuna Mkikuyu aliyempigia kura. Kuna Wakikuyu wengi (hasa vijana) ambao waliona ndani ya Raila mabadiliko na matumaini ya mwelekeo mpya wa Taifa. Kitendo cha Raila kutojitokeza mara moja, kupinga, na kutojihusisha kwa namna yoyote na mashambulizi dhidi ya Wakikuyu au mali za Wakikuyu ni kitendo cha kushindwa uongozi, yes I said it!
Raila alikuwa na nafasi ya kuonesha umakini, uthubutu, ujasiri na ukomavu wa kisiasa. Badala ya kudai "ni vyombo vya serikali ndiyo vinafanya vurugu" Raila angetumia uwezo wake wote kutuliza moto huo huko akijipanga hatua inayofuata. Wote wawili Raila na Kibaki wanahusika moja kwa moja na mauaji na machafuko ya kisiasa nchini Kenya ni wao na timu zao lazima wakae chini na kutafuta suluhu bila kuweka masharti mapema.
Raila ana ushawishi mkubwa na ameshindwa kutumia ushawishi huo kutuliza Kenya na kwa maneno yake amechochea vurugu zilizotekea nchini Kenya baada ya uchaguzi. Endapo uchaguzi mwingine utaitishwa Kenya, msishangae Wakikuyu wengi waliomuunga mkono Raila wataaamua kubadili msimamo.
wakati mwingine huwa nafikiri watanzania tumelishwa limbwata na viongozi wetu na wazandiki wenzao hao wanaojiita "viongozi wa dini"
hivi kuombea amani bila kujua chanzo cha amani kunasaidia nini na pia hata hao mbona wanapopambana na "shetani" wanamtaja waziwazi na ukiangalia maombi yenyewe yalitayarishwa ki- CCM CCM. hivi kama Getrude Lwakatare amteuliwa na CCM kuwa mbunge nani tena atawaamini hao viongozi wa dini?
FIVE HINTS
1.In any revolution loss of life is inevitable because the aggressor is ready to kill to mantain the status quo and the oppressed want liberation
2.The person dying today for libaration,the next generation will honour his/her blood
3.If you flip your tail before the oppresor,you are failing your own generation and future generation
4.You have got to choose,betray yoursef,your generation and be a loser or confront the reality,be honoured as a matyr and be a winner
5.Lets be realistic,peace and justice can never be separated.If you keep one you keep both,if you lose one you lose both.The example is there,dont ask me anything.If you still dont understand,Join us in Kenya.
ALL THOSE WHO HAVE LOST THEIR LIFE TO DEFEND THEIR DEMOCRACY WILL NEVER BE ASHAMED
Raila alikuwa na nafasi ya kuonesha umakini, uthubutu, ujasiri na ukomavu wa kisiasa. Badala ya kudai "ni vyombo vya serikali ndiyo vinafanya vurugu" Raila angetumia uwezo wake wote kutuliza moto huo huko akijipanga hatua inayofuata.
Hii article nimeitoa kwenye website ya "The Economist"
Kenya
Twilight robbery
Jan 2nd 2008 | NAIROBI
From Economist.com
Ethnic violence comes to Kenya
THE decision to return Kenya's 76-year-old incumbent president, Mwai Kibaki, to office was not made by the Kenyan people but by a group of hardline Kikuyu leaders. They made up their minds before the result was announced, perhaps even before the opposition candidate, Raila Odinga, had opened up a lead in early returns from the December 27th election. It was a civil coup.
The planning was meticulous. All that was needed were the extra votes to squeak past Mr Odinga in what had been a closely and decently contested election. That was why returns from Central Province, Mr Kibaki's fiercely loyal Kikuyu heartland, were inexplicably held back. And why, in some constituencies, a large number of voters mysteriously decided just to vote in the presidential race, ignoring the parliamentary ballot. Real damage was done in Nairobi, the capital, by inflating the number of votes for Mr Kibaki, even after results were publicly announced. Election monitors were turned away in Nairobi while the tallying went on. But European Union (EU) monitors verified tens of thousands of votes pinched in this way. Mr Odinga's supporters were not innocent either. There were serious irregularities in his home province of Nyanza and probably ballot stuffing on his behalf elsewhere.
The EU's preliminary report on the presidential vote was scathing. After the result was announced security forces sealed off the centre of Nairboi against the angry poor, most of whom had voted for Mr Odinga. A few minutes later in State House, in the twilight, Mr Kibaki was sworn in as president, with almost nobody else there.
The reaction to the swearing-in was immediate. Nairobi's slums exploded in rage. The poor killed each other. The rest of the city was eerily empty, but for burning tyres. Across the country there was a swelling up of tribal violence, sometimes Kikuyu against Mr Odinga's Luo tribe, more often Luo and other tribes against Kikuyu. Hundreds have been killed so far and 80,000 displaced. Gang rapes and mutilations are widespread. Police have orders to shoot to kill. There has been rampant looting in Kisumu, riots in Mombasa and pitched battles in Eldoret. Thousands of Kikuyu have taken refuge in Eldoret's Catholic cathedral from roving gangs. Kikuyu hiding in another church outside Eldoret were burned alive by a mob. There will be reprisals. Some non-Kikuyus are already slipping away from Central Province.
Taken together, it amounts to a pulling apart of Kenya's rich national fabric. Some 98% of Kikuyu voted for Mr Kibaki. Everywhere else he was trounced. We feel downgraded to second class status, harassed, profiled, says Najib Balala, a senior Orange. The Kikuyu highlands encircling the diminishing glaciers of Mount Kenya feel like a state within a state.
The instincts of the hardliners will be to use the security services to reverse the freedoms of Mr Kibaki's first term; anything to avoid power slipping into Mr Odinga's hands. It is not clear that Kenya will stand for it. The government pressured mobile phone operators to suspend text messages for security reasons, without success. Kenya's media is still keen to report rather than incite. The army's strong apolitical tradition, with staff officers drawn from several tribes, looks to be holding.
Mr Odinga has called on Mr Kibaki to resign. His Oranges want a campaign of civil action, peaceable, but determined. Mr Odinga says that Kenyans today will not tolerate betrayal. They are better educated, more independent, than in the past. They may also be more frustrated, more violent, and harder to control.
A week after voting, the immediate concern is to haul the country back from ethnic cleansing. A chastened Samuel Kivuitu, head of the electoral commission, now says he is not sure that Mr Kibaki won the election. The Americans and the British have been twisting arms. The head of the African Union, John Kufuor, is also trying to mediate. More importantly, well-connected Kikuyu business leaders have been trying to persuade Mr Kibaki to cave in and form a government of national unity. If they don't, says a diplomat, the country is heading for civil war.
Kilitime, nakubaliana na wewe na reaction yangu ya kwanza kuhusu maandamano hayo ni kuwa "unnecessary". Hasa kutokana na subject yenyewe na jinsi ilivyodokezwa kwangu.
Endapo maandamano haya yatachukua sura ya kumuunga mkono Raila na kumlaani Kibaki siyo tu yatakuwa ni ya uchochezi bali hayatasaidia kutafuta usuluhishi kule Kenya. Endapo mzigo wa uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyofanyika utabebeshwa kwenye mabega ya Kibaki tu sidhani kama hilo litasaidia katika kuleta uponyaji wa Kenya.
Binafsi naamini kabisa kuwa Raila ana sehemu kubwa ya kulaumiwa kutoka na machafuko ya kisiasa nchini Kenya kama vile Kibaki anavyolaumiwa. Yawezekana wengi wetu kutokana na kutaka "Raila ashinde" na baada ya kuona upuuzi na uhalifu uliofanyika katika kutangaza kura tumekuwa vipofu wa kufuata haki na hivyo kuchukua upande wa "anti-kibaki" ilimradi na sisi tuoneshe kuwa haki haikutendeka.
Hilo laweza kuwa sawa. Hata hivyo kwenye moto na cheche za Ukabila na mauaji yanayoshabihiana na yale ya kimbari rafiki kuchagua upande au kuonekana wamechagua upande haisaidii kitu zaidi ya kupulizia moto!
Kenya wako katika moto, na sisi Watanzania na hasa wapinzani wasitumike kama wapuliziaji moto kwa kisingizio "cha mshikamano" na "wale wote wenye kutetea utawala wa demokrasia".
Tufanye vitu vya kwanza kwanza; Raila na timu yake na Kibaki na timu yake wasiweke preconditions zozote na wakae meza ya mazungumzo and nothing should be taken off the table and everything should be open for discussion!
Ssebo na Mtanzania, niwajibu kwa pamoja.
1. Kama kweli Raila alitaka kuongoza mapambano haya na kuwa tayari kumwaga damu yeye ndiye angekuwa wa kwanza kutembea kwenda kule na apigwe Mabomu kama Mrema, na achapwe viboko kama kina Lewis wa Georgia.. [/U]
2. Kama lengo lilikuwa ni kujaribu kutatua mambo haya kwa amani na kuonesha brutality ya serikali alikuwa na uamuzi wa kufanya mikakati ya maandamano ya amani (siyo kusema maandamano ya amani) kama walivyofanya Martin Luther na Gandhi! Raila ameshindwa hivyo.
3. Kitendo cha Raila kutojitokeza mara moja, kupinga, na kutojihusisha kwa namna yoyote na mashambulizi dhidi ya Wakikuyu au mali za Wakikuyu ni kitendo cha kushindwa uongozi, yes I said it!
4. Raila alikuwa na nafasi ya kuonesha umakini, uthubutu, ujasiri na ukomavu wa kisiasa. Badala ya kudai "ni vyombo vya serikali ndiyo vinafanya vurugu" Raila angetumia uwezo wake wote kutuliza moto huo huko akijipanga hatua inayofuata.