Kenya Defence Forces Kuukomboa mji wa Afmadhow | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya Defence Forces Kuukomboa mji wa Afmadhow

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by theysaidno, Jun 7, 2012.

 1. t

  theysaidno Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Last week on Thursday at around 3.00PM the Kenyan military together with Somali government forces and the Ras Kamboni brigade took over Afmadow town in a show of might that even big armies like the Ethiopian one failed to do a few years ago. This is a key town enroute to the port city and hub of Alshabaab Kismayo. Is it military tact that Kenya is endowed with or super intelligence in this war? This is a wake up call to all the countries in the region to first respect kenya as the epitome of security in the area and a war on terrorism affects everyone.. so Tanzania etc need to support this war. Lastly should this just tell us that Kenya is a super East African power????

  East Africa Job Board
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Watakomboa miji yote ya somalia lakini hawataweza kukomboa Nairobi na mombasa kutoka mikononi mwa al-shabaab. Mimi ni shahidi tomaso.
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wasichojua ni kuwa mujaheedin hawana cha kupoteza including maisha yao wenyewe, sasa watu wa hivyo utawashindaje?? Mtu anapofikia hatua ya kutothamini maisha yake mwenyewe anakoma kuwa binadamu na anageuka kuwa shetani, sasa hao wakenya wananguvu ya kumshinda shetani???? Wa russia walijaribu afighanistan wakashindwa na waamerika zaidi ya miaka 10 wako afighanistan hakuna kinachoeleweka. Miaka ya nyuma Lebanon ilishindikana hadi leo kuna majeshi ya umoja wa mataifa, iraq pamoja na juhudi zote za waamerika bado kupo njia panda, syria kunawaka moto, egypt wanalilia mfuga ndevu awe rais. Mimi nadhani hawa watu hapa duniani ni kuwatengea maeneo wakae peke yao na allah wao na mtume wao na watu wengine wahakikishe mipaka inaimarishwa kuwazuia kutoka ndani ya hayo maeneo yao.
   
 4. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa iyo kenya wafanyaje?
   
Loading...