Somalia ni wadhaifu kwasababu wana silaha dhaifu kulinganisha na nchi nyingine, wamekosa mafunzo rasmi ya kijeshi tangu mwaka 1991, hawana kabisa mfumo wa ujasusi kwa sasa. Walichonacho ni itikadi ya kiimani tu kwa sasa inayowafanya wawe tayari kujitolea maisha kirahisi zaidi kuliko majeshi mengine.
Sasa Mzalendo mbona tunaongea kitu kimoja, bila shaka kutokana na somalia kutokuwa na serikali rasmi ndo kumesababisha wasiwe na silaha za nguvu na za kutosha, ndo maana hawana mafunzo ya kijeshi na ndo maana hawana idara yoyote ya ujasusi. Kwa hiyo tunakubaliana kuwa somalia ni wadhaifu, sasa ulichokuwa unapinga kuwa somalia sio dhaifu nini? Kumbuka mie ndo nimekwambia somalia ni dhaifu wewe ukapinga kwa kusema waliua wamarekani ukionesha kuwa sio wadhaifu.Mimi sioni somalia ikiwa dhaifu Kivita. Maana yangu ya udhaifu ni hivi. = Somalia hawajakuwa na serikali rasmi kwa miaka ishirini, wala hawana sera zinazowaongoza. hivyo, ikiwa taifa ambalo imestawi kiuchumi, kisiasa au kivita itaingilia somalia, huo ndio mimi nauona kama kuingilia nchi dhaifu. Ndiposa unaona kuwa mataifa Kama Kenya au Ethiopia yakingilia kati, inaleta tetesi kubwa sana.
Mzigo wa wakimbizi wa somalia ktk kenya haujaanza leo, mwanzoni mwa 1990s mzigo ulikuwa mkubwa zaidi. Nilitarajia wakati huo waone umuhimu wa kuingia somalia kuijenga amani.Hiyo ni tukio tu, kwasababu ule mradi wa Lamu/S. Sudan transport corridor, tayari serikali ya Kenya ilikuwa ishaweka msingi wa kufanya ujenzi huo hata kabla ya mirindimo ya alshabaab kuzuka. Kuna maswala mengi haswa ya kihistoria ambayo yanaibua hisia nyingi, zinazotokana na shughulii zinazoendelea nchini somalia, iwe ni vita dhidi ya alshabaab au kulinda amani.
1.Kwa mfano, vita vya wenyewe-kwa-wenyewe tangu kuanguka kwa serikali rasmi ya Somalia imefanya kuja kwa wakambizi nchini Kenya kwa wingi. Serikali inawajibika kufanya majukumu yake ya kuleta amani katika mipaka yake.
2. Shughuli ya wakimbizi kuingia Kenya kwa wingi ni jambo ambalo utakubaliana nami imeshinda serikali ya Kenya. Inakadiriwa wakimbizi elfu tatu wanaingia nchini Kenya kila siku na wengine wakipenyea vichochoroni kuingia nchini bila idhini au stakabadhi, Mwishowe inaleta tishio kwa usalama wa nchi na wananchi, tena unakuwa mzigo kwa serikali.
Nilichosema ni kwamba "wamarekani wanadai waliwashauri wakenya kutokutekeleza huo mpango wa uvamizi"
And when you claim that Wikileaks site is a propaganda website can you please put links here to back up your claims?
I have read the article and it seems to me the writer just wants to exonerate the US from her complicity. It's hard to believe that the US was caught unaware given the country's penchant for war, especially "war against terror". Afterall, the US intelligence has been closely knitted to the intelligency agencies in the region, in the aftermath of the simultaneous 1998 bombings, for such a plan to "pass under their radar" (unnoticed)....Ni vigumu kujua Agenda ya hii ripoti ni nini.
http://www.mcclatchydc.com/2011/11/18/130739/wikileaks-us-warned-kenya-against.html
By Cyrus Ombati
Tues 20th December 2011
Nairobi, Kenya
OPERATION LINDA NCHI
Location :NORTH EASTERN KENYA
Updated : 10: 00 Hrs EAT
EXPLOSION IN DABAAB, TWO SHOT IN GARISSA
An explosion believed to be a grenade occurred near a training centre in Ifo Dadaab on Tuesday morning. No injuries were reported but police are investigating the incident.
Meanwhile on Monday night, two people were shot and seriously wounded in Garissa town in what police believe is a new tactic being employed by Al-Shabaab militants' sympathisers in the area
The two, barbers, were shot at close range by gunmen who escaped without stealing anything from them.
Witnesses and police said the gunmen walked to the barbershop at about 8pm and shot the two in the chest and head before escaping on foot.
Police on Tuesday said the victims were admitted at a local hospital, and were in stable condition.
North Eastern PPO Leo Nyongesa said no arrest had been made but they are investigating the motive and those behind the attack.
The attack happened hours after a police officer was killed and two others injured in an explosion executed by a gang of Al Shabaab sympathisers at the Hagadera refugee camp, in North Eastern Kenya.
The injured officers are still in hospital in Garissa. Their colleagues have complained injured officers are abandoned in hospitals in the area. They want their superiors to intervene.
"These officers need to be airlifted to Nairobi for treatment but they have been abandoned here. It affects our morale," said an officer on the ground.
READ MORE source: The Standard | Explosion in Dadaab, two shot in Garissa in Dadaab, two shot in Garissa
Kuhusu Ethiopia ukumbuke kuwa ni kenya na wanachama wa IGAD walioipigia magoti Ethiopia iingie kusaidia somalia japo mpaka sasa Ethiopia haijasema imeshapeleka majeshi zaidi ya habari za kwenye vyombo vya habari.
Tunajua madhara ya alshabab isipokuwa kinachotukera ni jinsi kenya inavyowapa kichwa alshabab.@Kibona, Askari kanzu & your bongo fratenity. Haya ndo matokeo ya shughuli za alshabaab nchini somalia. There is to much untold suffering here, So, wakati tuna jadiliana hapa, let's do with with full sobriety. The third picture is Dadaabs aerial view. the biggest in the world
View attachment 43799
View attachment 43800
View attachment 43801
Mzalendo452, despite my efforts to compaginate those three pictures and deflocculate your remarks, I still feel my argumet is holosteric, i.e Kenyan military is facing a katabasis in Somalia, due to lack of tangible prior planning. Dadaab has never been the casus belli for this war. What I am witnessing among Kenyans now is kakorrhaphiophobia which is translating itself into inaniloquency. This could have been avoided had Kenya known of the contretemps that were inherent in this untenable Somali adventure....So, wakati tuna jadiliana hapa, let's do with with full sobriety...
Mkuu Askari Kanzu, umemuona Kiranga kwa karibuni?Mzalendo452, despite my efforts to compaginate those three pictures and deflocculate your remarks, I still feel my argumet is holosteric, i.e Kenyan military is facing a katabasis in Somalia, due to lack of tangible prior planning. Dadaab has never been the casus belli for this war. What I am witnessing among Kenyans now is kakorrhaphiophobia which is translating itself into inaniloquency. This could have been avoided had Kenya known of the contretemps that were inherent in this untenable Somali adventure.
nashindwa kujua kwa nini kenya army wanashindwa kufanya mambo ili hii operation iwe fupi-sitaki kuamini alshabaab wana kuwa na stiff resistance kiasi hikiTunajua madhara ya alshabab isipokuwa kinachotukera ni jinsi kenya inavyowapa kichwa alshabab.
Vita siyo ngoma ya lelemama naona sasa majirani wanalala macho wazi na hata pwani za Lamu, Malindi na Mombasa siendi tena kutalii
Picha kama hizi zinapatikana pande za Wajir na Isiolo (Kenya) hakuna la ajabu !@Kibona, Askari kanzu & your bongo fratenity. Haya ndo matokeo ya shughuli za alshabaab nchini somalia. There is to much untold suffering here, So, wakati tuna jadiliana hapa, let's do with with full sobriety. The third picture is Dadaabs aerial view. the biggest in the world
.................... Isiolo na Wajir (Kenya) picha zinazofanana n hizi zipo nyingi tuu ! Mliwatupa wenzenu wote mkakakimbilia bonde la Ufa !
View attachment 43799
View attachment 43800
View attachment 43801
.......... duuuuuh ! una nia ya maksudi wengine tusielewe au ni code za kuwasiliana na Al Shabab !?Mzalendo452, despite my efforts to compaginate those three pictures and deflocculate your remarks, I still feel my argumet is holosteric, i.e Kenyan military is facing a katabasis in Somalia, due to lack of tangible prior planning. Dadaab has never been the casus belli for this war. What I am witnessing among Kenyans now is kakorrhaphiophobia which is translating itself into inaniloquency. This could have been avoided had Kenya known of the contretemps that were inherent in this untenable Somali adventure.
Ally Kombo, not really. But as someone conversing with these imperseverant Kenyans I have come to discover, ab initio, that in order to be inexpugnable and put them in situ, I am obliged to deploy vocal ballistics of altitonant character so as to elumbate and render them anandrious. These people still wallow in, (to quote Patrick Obahiagbon), cankerous tribalism, ethnocentric chauvinism , syphilitic parochialism and catalytic parapoism. To most of them, the command of English (that colonial language) is a litmus test, a sine qua non, of academic excellence. And that's why!.......... duuuuuh ! una nia ya maksudi wengine tusielewe au ni code za kuwasiliana na Al Shabab !?
...........aiseeeh ! mkuu nimekupat huo msitari wa mwisho, ila nimekuelewa ! SALUTE 😛oaAlly Kombo, not really. But as someone conversing with these imperseverant Kenyans I have come to discover, ab initio, that in order to be inexpugnable and put them in situ, I am obliged to deploy vocal ballistics of altitonant character so as to elumbate and render them anandrious. These people still wallow in, (to quote Patrick Obahiagbon), cankerous tribalism, ethnocentric chauvinism , syphilitic parochialism and catalytic parapoism. To most of them, the command of English (that colonial language) is a litmus test, a sine qua non, of academic exellence. And that's why!
Ndo hivyo mkuu, wote tunawashangaa. Kazi yao ni kupayuka kwenye vyombo vya habari lakini shughuli haiendi huko somalia, halafu wanasingizia alshabab wanajua vita.nashindwa kujua kwa nini kenya army wanashindwa kufanya mambo ili hii operation iwe fupi-sitaki kuamini alshabaab wana kuwa na stiff resistance kiasi hiki