Nawaonea huruma wakenya, wameingia vitani bila kupima uzito wa adui yake. SASA WANAKIMBIA HUKU NA HUKO KUOMBA MISAADA. Unajitangaza uanaume wakati nguvu zenyewe huna. Kwa mara nyingine nchi niliyotegemea iachane na omba omba inakwenda kupiga magoti tena kwa wageni. Leo wapo Israel, kesho watakwenda kwa baba zao waingereza, kesho kutwa kwa babu zao Wamarekani.
Afrika haitajifunza hata siku moja, ni juzi tu bill ya NATO kwa Libya ni $480 bilioni, haya tusubiri bili ya waisrael, waingereza na wamarekani kwa nchi ambayo inakabiliwa na njaa 'Kenya' baada ya miezi sita.
Wajinga ndio waliwao![/QUOTE
Zawadi ngoda wacha matusi wewe!! Waziri Mkuu Wa Kenya Raila Odinga yuko Israel kwa mkutano wa kibiashara na kuhiharifu serekali ya Israel jinsi kenya inavyoendelea na shughuli za kuleta amani na kuunda serekali ya kudumu Somalia,pia Kenya inatafuta kuungwa mkono wa kisiasa na nnchi za kiislamu.Hatutafuti msaada wa kivita..hapo tuko sawa vijana wetu wako gangari!!!.
Jambo la kushangaza ni kuwa ingawaje Tanzania ina watu werevu...-nafahamu hivyo kwa sababu nashirikiana na wengi wao kibiashara- Hii forum ime wavutia wapumbavu wengi kama wewe! mbona watutusi eti sisi wajinga ilihali vijana wetu wana sacrifice maisha yao kwa ajili yenu pia na chi zote za upembe wa afrika! raia wa kenya wamejitolea kuhatarisha maisha ya hata kilipuliwa na magurudedi za alshaabab kwa ajili ya usalama wenu pia..wajinga ndio nyinyi......Tuliingia Somalia kwa sababu tuna uwezo wa kupigana na kushinda vita hivyo na hatutoki Somalia hadi tuunde serekali ya kudumu huko....mutaropokwa kwa sababu hamuna akili..na itabidi tuvumilie upumbavu wenu kwa minajili ya usalama wenu pia....shame on you! Kenya si masikini kama nnchi zinazo tuzingira we have the cash because we work very hard..tafadhali tuheshimiane....next time check your notes before you parade your ignorance here!!! gd day
Naona PM wa kenya yuko Israel moja ya issue ni kuomba msaada wa namna ya kukabiliana na Al Shababy
My take:Naona sasa Kenya atakabiliana na maadui wengi kwa kuwatumia Israel ingawa Msaada toka uko ni dalili za kuwashinda hawa watu!
Source:TBC 20hrs news
hata mwezi bado öoh.... Nalog off
s
Washawasha,the only help we need form the international community is for humanitarian needs of Somalis in the liberated towns,this people are in need of water,food and medicine..our solders have been forced to share the little they have with the locals and offer clinical services..stop making jokes please, peoples lives are involved here....we need sensible contributions here.....based on what i read here.....Tanzania should declare intellectual poverty as a National Disaster.
wanatetea dini yao, imani katika dini yao inawaruhusu na inawataka kuwa hivyo.kama israel kila baya kunapotokea duniani wamekuwa kama jalala la kutupia kila aina ya taka hii ndiyo ubaya wa kukaririshwa ubaya wote unatupiwa nchi za magharibi na israel
Nazi-ism is well and alive on planet earth.Hitler alisema, "waisrael ambao wamebaki watatoa jibu kwa nini nilikuwa nawaua kwa halaiki". Dunia ilipo sasa ni matokeo ya nguvu ya israel. Wao ndio wanaamua nini kifanyike na wakati gani.
you need to undo your words and redo your research.Vita Si Lelemama Wawaache Wasomalia Wapiganie Nchi Yao al-shaaba ndio Peoples Power kama Hamjui wanapata support kubwa sna ndani ya somalia ila kuna mambo fulan fulan ndio wamekosea na pia nchi yenyewe ina njaa so hawathaminiwi na watu wa nje.
Kenya Mnali hilo mmelivaa Vita ya kupigana na watu wasiovaa Combat ni ngumu so wameona Obama kateseka na hali yake mbaya kasababisha hadi Peoples Power imeshaanza kujitokeza New York Hawaii na inaendelea States zinataka kujitenga au madai yao yatimizwe..
Bado kwetu Lowassa Keshaona Kikwete kafumba Macho na masikio kaziba Tutamhukumu Hata Gadaffi alijidai mwisho wakamsodoma.
Israel hawezi kujiingiza Somalia ndio kamuambia Odinga atamsapoti kwa kumpa mbinu za kulinda mipaka..
Israel yenyewe ipo roho juu juu sababu ya Iran na yupo Mbioni kumlipua ili apumue Huyu Amhadinejad Asili yake ni Myahudi lakini anawanyima Usingizi wayahudi wenzake
define kizayuni!![TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Utawala wa Kizayuni kuisaidia Kenya katika mashambulizi yake Somalia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]Viongozi wa Kenya wamesema kuwa, utawala wa Kizayuni umekubali kuisaidia nchi hiyo katika kampeni zake za kijeshi za kukabiliana na wanamgambo wa ash Shabab nchini Somalia.
Hayo yamekuja baada ya Raila Odinga, Waziri Mkuu wa Kenya kutembelea Tel Aviv na kuwaomba viongozi wa utawala wa Kizayuni waisaidie nchi yake katika kampeni hizo.
Wakati huo huo wanamgambo wa ash Shabab wamesema kuwa, wapiganaji wake wamefanikiwa kuua wanajeshi 27 wa Kenya na kuteketeza gari la kijeshi la nchi hiyo lililokuwa na silaha.
Kenya iliivamia kijeshi Somalia mwezi uliopita kwa ajili ya kupambana na wanamgambo wa ash Shabab na kusisitiza kuwa itaendelea na mashambulizi yake hayo hadi itakapohakikisha kuwa, mipaka ya Kenya iko salama.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nawaonea huruma wakenya, wameingia vitani bila kupima uzito wa adui yake. SASA WANAKIMBIA HUKU NA HUKO KUOMBA MISAADA. Unajitangaza uanaume wakati nguvu zenyewe huna. Kwa mara nyingine nchi niliyotegemea iachane na omba omba inakwenda kupiga magoti tena kwa wageni. Leo wapo Israel, kesho watakwenda kwa baba zao waingereza, kesho kutwa kwa babu zao Wamarekani.
Afrika haitajifunza hata siku moja, ni juzi tu bill ya NATO kwa Libya ni $480 bilioni, haya tusubiri bili ya waisrael, waingereza na wamarekani kwa nchi ambayo inakabiliwa na njaa 'Kenya' baada ya miezi sita.
Wajinga ndio waliwao!