Wanajaribu kuhalalisha tu hiyo vita ya Kenya na Wasomali Alshaabib. Marekani wanajua Wasomali ndo threat kubwa kwenye kusafirisha vitu vyao kupitia pembe ya africa mashariki, kwa hiyo nilazima wajenge mazingira ya kuhalalisha vita inayoendelea saizi.