Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
- Thread starter
-
- #301
Hapo naona Annan hajakosea. Hivi vita vitachukua muda mrefu na huenda vitaitia Kenya kwenye matatizo mazito. Nakumbuka vizuri sana vita ya Uganda ilivyoanza na wote tulikuwa tunafikiria itachukua wiki chache lakini haikuwa hivyo. Madhara yake (kiuchumi) bado mpaka leo yanaonekana. Kwa hiyo wakenya hapa wanatakiwa wawe makini sana!Kenya operation in Somalia must not be drawn out: Annan
Although Kenyan troops have made brief incursions into Somalia, this week's operation is on a much larger scale and increases the risk of dragging Nairobi deeper into Somalia's two-decade-old civil war, as well as reprisal attacks.
Speaking in Nairobi, Annan said the military campaign, which Kenya launched with support from Somali government forces on Sunday, would be difficult.
Duh!Kama wameshaijenga Eastleigh kiasi hiki basi kuna mkono wa hizo pesa za pirating siyo siri!Taswira za kitongoji cha Eastleigh "Isliii" (makazi ya wasomali Nairobi), "a city within a city". Hayo majengo yote ni ya wasomali. Uwezekano ni mkubwa magaidi wa Al Shabaab tayari wamejificha humo wakingojea kuanza kujiripua!
Nomad palace hotel
Grand royal hotel
Kenya waelewe kwamba Somalia hakuna kiongozi wa kumuua halafu ukatangaza mwisho wa mapambano.Ni watu wa kawaida tu ambao kutokana na shida za miaka mingi wamekuwa na roho ngumu.Kujitoa muhanga kwao si kazi.Kutokana na kiwewe cha vita Kenya itabughudhi raia wake wenye asili ya kisomali ambao ni wengi hatimae kutakuwa na machafuko ndani ya Kenya na hiyo itakua hatua nyengine ngumu ya vita.Si rahisi kuwaweka ndani wote wanaoitwa sympathizers wa Alshabaab bila kufanya makosa yatakayoleta machafuko ndani ya jamii ya Kenya.Jamii ya Kenya yenyewe haiko tulivu hata kidogo kutokana na umaskini wa kutupwa.Ni rahisi kuripuka kimawazo kuliko jamii nyengine.Kenya operation in Somalia must not be drawn out: Annan
Although Kenyan troops have made brief incursions into Somalia, this week's operation is on a much larger scale and increases the risk of dragging Nairobi deeper into Somalia's two-decade-old civil war, as well as reprisal attacks.
Speaking in Nairobi, Annan said the military campaign, which Kenya launched with support from Somali government forces on Sunday, would be difficult.
Zaidi hapa Kenya operation in Somalia must not be drawn out: Annan | Top News | Reuters
Kenya waelewe kwamba Somalia hakuna kiongozi wa kumuua halafu ukatangaza mwisho wa mapambano.Ni watu wa kawaida tu ambao kutokana na shida za miaka mingi wamekuwa na roho ngumu.Kujitoa muhanga kwao si kazi.Kutokana na kiwewe cha vita Kenya itabughudhi raia wake wenye asili ya kisomali ambao ni wengi hatimae kutakuwa na machafuko ndani ya Kenya na hiyo itakua hatua nyengine ngumu ya vita.Si rahisi kuwaweka ndani wote wanaoitwa sympathizers wa Alshabaab bila kufanya makosa yatakayoleta machafuko ndani ya jamii ya Kenya.Jamii ya Kenya yenyewe haiko tulivu hata kidogo kutokana na umaskini wa kutupwa.Ni rahisi kuripuka kimawazo kuliko jamii nyengine.
Ni mchango tu ambao kwa sikio la kufa utapuuzwa lakini utakumbukwa.
Wewe nawe uislamu wako una mashaka kama ulivyoelezwa huko nyuma.Hii ni kutokana na hiyo avataar uliyochagua ya kisoda cha bia.Si hivyo tu bali hata mawazo yako si ya waislamu.Muislamu huwa hapigani kwa sababu nyepesi kama za Kenya na akichokozwa huwa harudi nyuma.Ukitaka kujua angalia msimamo ambao nao pia si madhubuti lakini kielelezo kinapatikana.Nakusudia marehemu Ghadafi.Hakusalimu amri na kapigana mpaka tone la mwisho.Inakaa wewe huelewi sababu zetu zakuingia vitani na alshabab, unaona ni kama tunawaonea wenzako kwa kuwa ni waisilamu, haujajiuliza ni kwa mda gani tumewa tolerate hawa magaidi. wakijaribu kupiga Nairobi ndio watajua kenya si mchezo, tutawamaliza wote na hao ma simpathisers. usisahau mimi naongea hivi kama Mkenya Muislamu
Wewe nawe uislamu wako una mashaka kama ulivyoelezwa huko nyuma.Hii ni kutokana na hiyo avataar uliyochagua ya kisoda cha bia.Si hivyo tu bali hata mawazo yako si ya waislamu.Muislamu huwa hapigani kwa sababu nyepesi kama za Kenya na akichokozwa huwa harudi nyuma.Ukitaka kujua angalia msimamo ambao nao pia si madhubuti lakini kielelezo kinapatikana.Nakusudia marehemu Ghadafi.Hakusalimu amri na kapigana mpaka tone la mwisho.
Tukiacha hiyo narudi kwako kwamba inaonekana hufuatilii mienendo ya vita duniani.Unadhani kuwamaliza watu ni kitu rahisi kwa njia ya mapigano.Ingekuwa hivyo hali ingekuwa shwari Iraq,Afghanistan,Palestina na kwengineko.Huko wanaoendesha hiyo operesheni ya kumaliza wenzao ni wababe wa dunia wenye nguvu kubwa za kiuchumi.Hilo halitowezekana kwa Kenya yenye njaa na rushwa 100%.Kwa akili yako ya tusker huwezi kuona hilo lakini utaanza kuzinduka siku kombora la Alshabaab litakapovuruga gari la kijeshi la Kenya huko huko Somalia mulikowafuata na wala si Nairobi.
Kenya turns to home in Shabaab crackdown
By Humphrey Malalo and Sahra Abdi NAIROBI/MOGADISHU | Fri Oct 21, 2011 10:54am EDT
(Reuters) - Kenya charged two doctors Friday with being members of Somalia's al Shabaab militant group, intensifying a crackdown against the rebels as its troops pressed on with a cross-border operation in Somalia. After a spate of kidnappings against foreigners that have threatened the East African country's major tourism industry, Kenyan troops moved suddenly into Somalia to secure the porous border from al Qaeda-linked rebels.
Kenya has long looked nervously at its anarchic neighbor and has launched some brief incursions in the past, but this operation is on a much larger scale that raises the risk of reprisals from al Shabaab who have proven capable of deadly suicide attacks within and outside Somalia.
As Kenyan and Somali government troops tried to secure militant strongholds in the south of the country, Kenyan security forces turned their attention within their own borders and arrested two doctors in a Nairobi neighborhood with a large Somali community.
"Ali Omar Salim and Adan Hassan Hillow were charged with engaging in organized criminal activity on or before October 20 in Nairobi ... (and) found engaging in an organized criminal activity by being members of al Shabaab," their charge sheet at Nairobi chief magistrate's court said.
Deputy police spokesman Charles Owino said the two had been detained in the Eastleigh suburb -- which has a large Somali population from both Kenya and Somalia -- earlier this week.
"We are cracking down everywhere. Within the country and in Somalia," Owino said.
Reuters reporters have in the past seen al Shabaab fighters in Eastleigh, sometimes returning for medical treatment, and Somali parents living there complain that some mosques actively recruit youths to fight for al Shabaab.
Hivyo ndivyo ambavyo Marekani imefanikiwa kuiingiza dunia yote kwenye vita kwa faida ya ubeberu wake.Sera ya utalii Kenya kuanza kusambaratika?
U.S. Warns of Terrorist Threat in Kenya
By Paul Richardson - Oct 22, 2011 9:05 PM GMT+0200
The U.S. Embassy in Kenya warned a terrorist attack may be imminent in the East African nation, six days after Kenyan soldiers entered neighboring Somalia to combat al-Qaeda-linked rebels.
The embassy received "credible information of an imminent threat of terrorist attacks directed at prominent Kenyan facilities and areas where foreigners are known to congregate, such as malls and night clubs," said a statement e-mailed by the State Department today.
"U.S. citizens should take this information into account when planning travel and consider deferring travel at this time," the message said.
Kenya sent troops to Somalia on Oct. 16 after officials blamed the kidnappings of foreign tourists and aid workers in Kenya on al-Shabaab, a militia that has pledged allegiance to the al-Qaeda terrorist network.
Somalia, on Kenya's northeastern border, hasn't had a functioning government since the 1991 overthrow of dictator Mohamed Siad Barre.
CNN