Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
Shida yao and i say it kila time ,******** ana wafeed vitu zenye haziko,mtu hajawai kanyaga Kenia but anaongea nikaa anajua kila part ya kenya,ukweli Nairobi ni moto sana but hata hizo counties zingine si mchezo,To all Tanzanians here please changeni pesa vizuri then mtembee kenya,utajionea is not about nairobi,Mi natoka nairobi but trust mi Kajiado county na Voi are my best coz kuko very developed,hata pia sisi watu wa nairobi hudhani ivyo but tukifika huko tunashtuka,before nilikuwa nadhani Nairobi ni kila kitu but after kutembea ndo naona enyewe kuna towns moto,Hata Nairobi haifikii Mombasa,ni venye Nai iko overrated na maisha iko juuHawaezi amini, whatever propaganda and conception wako nayo that's what they will believe, hawa watu wamelishwa propaganda eti Kenya watu wote wanaumia ili wasiwe na machungu na serikali ovyo ya CCM, imagine imetawala since independence na Tanzania ukitembea ndani, hali duni ya maisha almost kila mahali., ingilia Sirare border, nyorosha hadi Dar pole pole., utashangaa na vile wako na mijisifa hapa!., Dar kwenyewe, ukiangalia 85% plus ya raiya ni technically slum/village type lifestyle dwellers in the city., ovyo!, ni kama yale mandazi y mushomoroni Mombasa, ni slum na tena sio slum, nyumba za kitambo and ugly, haziko kwa mpangilio, ndani ni vibarabara vidogo na maduka za kiushamba, yani mingi ni vibanda vya biashara., sehemu kubwa ni sura mbaya!!!.,
Sent using Jamii Forums mobile app