Kenya, Chinese firms to build "Friendship City" in Nairobi

Hawa hawa wanashikilia namba za juu kabisa duniani kwa money laundering, prostitution, Drug cartels na human trafficking ndio mnawaona watu wa kuwakaribisha
Kweli mmeamua kubadili biashara na mtavuna mnachopanda
Tunaona Chinatown London na NY wanavyowasumbua mpaka wanaajiri police wachina ili kuwakamata wenzao sembuse nyie


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Aisee sasa China Town inahusiana vipi na huu mradi? Au kwasababu wao ndio wameshirikishwa kwenye ujenzi kwa akili zako finyu ndio ukajua inamaanisha kwamba wao ndio wataishi kwenye hiyo Friendship City? Soma taarifa ya mada hii vizuri kwanza kabla ya kurukia kwenye comment.
 
Wat about LNG plant 30bn USD ..in Mtwara only

Sent using Jamii Forums mobile app
huo mtambo wa LNG ndo unagharimu 90% ya hio pesa, Lapsset project ni vitu tofauti kama Resort City in LAke Turkana, Lamu port, High grand falls dam ambayo ndo itakua Kenyas largest water reservoir itakua inashilia 5 billion cubic litters of water kutumika hilo eneo, barabara zaidi ya 7,000km, industrial city Lamu... etc... Yani Lapsset itafikia 70% of Kenyas landmass
 
Aisee sasa China Town inahusiana vipi na huu mradi? Au kwasababu wao ndio wameshirikishwa kwenye ujenzi kwa akili zako finyu ndio ukajua inamaanisha kwamba wao ndio wataishi kwenye hiyo Friendship City? Soma taarifa ya mada hii vizuri kwanza kabla ya kurukia kwenye comment.
Mtawaamini sana lakini uzi huu utakuja kufukuliwa siku moja
Hata utukane haisaidii kitu
Hao business people from China ni watoto wa mama yako eti
Wanapokuja kuwekeza unajua hela zao zinatoka wapi
Unajua kutakatisha hela duniani kumeshamiri sana


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nikusonga mbele mbele, licha ya changamoto zote.,

Damei Investment of China and Kenya's Zuri Group Global announced on Wednesday that they will partner to build a "friendship city" in the east African nation.
By Xinhua Published : March 21, 2019
Jiannan Bao, director of Damei Investment, told Xinhua in Nairobi that construction of the proposed "friendship city," which will be located in the outskirts of capital city Nairobi, will begin before the end of 2019.
Bobby Kamani, managing director of Zuri Group Global, said that the "friendship city" is a comprehensive Special Economic Zone (SEZ) and Township, covering an area of 1,200 acres with five separate functional parks.
The project will lead to an initial foreign direct investment into Kenya of about 200 billion shilling (2 billion U.S. dollars), with a potential of up to 7.5 billion dollars by the time the entire development is complete, Kamani told the Wuxi-Kenya Business Forum.
The forum was organized by International Trade Center's Partnership for Investment and Growth in Africa and the Kenya Investment Authority, and co-organized by Jiangsu Business Development Association Kenya.
Business people from Wuxi city, in southern China's Jiangsu Province, who are seeking investment opportunities in Kenya, attended the gathering.
Kamani said the "friendship city" could potentially create 150,000 jobs directly and 500,000 jobs indirectly. He noted the major selling point of SEZs in Kenya is the tax shields offered within the confines of an SEZ. "Licensed SEZ enterprises, developers and operators benefit from various tax rebates such as exemption from excise duty, customs duty, value added tax and stamp duty, advantageous corporate income tax rates and preferential withholding tax rates," Kamani said.
With a raft of tax and non-tax benefits, he said, it is expected that the SEZ will not only attract foreign investors such as those from China, but also lure local industry players who will be afforded an opportunity to competitively access international markets.

Sent using Jamii Forums mobile app
Good step,brozers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtawaamini sana lakini uzi huu utakuja kufukuliwa siku moja
Hata utukane haisaidii kitu
Hao business people from China ni watoto wa mama yako eti
Wanapokuja kuwekeza unajua hela zao zinatoka wapi
Unajua kutakatisha hela duniani kumeshamiri sana


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Acha majungu bana. Kenya tunawaza biashara. Bado hatujafikia hatua ya kuwashobokea wachina. Kuwapa zawadi za wanyama pori wetu kama twiga na kupakiza meno ya tembo kwenye ndege ya viongozi wa China kama mlivofanya nyie watz wakati wa utawala wa msanii wenu kikwete. Tena sijakutusi, unataka kujadili ila hutaki kuelezwa kwamba hujaelewa mada ya uzi huu? Hivi hujasoma na kuelewa kwamba huu mradi ni wa kampuni binafsi ya kikenya na sio wa serikali?
 
Kila kitu ni Nairobi, miradi yote ya serikali ni Nairobi tu, projects zote na foreign investments zote destined in Nairobi.

Ndio maana njaa inaua counties za pembezoni mnasema huko sio Kenya, okay now I know Kenya ni Nairobi

Technicaly the project is in Athi River, Machakos County...not Nairobi. Ever heard of Nairobi Metropolitan region? This includes sections of Machakos, Kiambu and Kajiado. Map ndio hiyo.

Nairobi Metropolitan.jpg
 
huo mtambo wa LNG ndo unagharimu 90% ya hio pesa, Lapsset project ni vitu tofauti kama Resort City in LAke Turkana, Lamu port, High grand falls dam ambayo ndo itakua Kenyas largest water reservoir itakua inashilia 5 billion cubic litters of water kutumika hilo eneo, barabara zaidi ya 7,000km, industrial city Lamu... etc... Yani Lapsset itafikia 70% of Kenyas landmass
Hiv lappest hela ni goverment ,,ppp, au loans?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technicaly the project is in Athi River, Machakos County...not Nairobi. Ever heard of Nairobi Metropolitan region? This includes sections of Machakos, Kiambu and Kajiado. Map ndio hiyo.

View attachment 1051105
Hawa wakurupukaji bado hawatakuelewa hata ukiwaekea ramani. Wakome kabisa kufananisha Nairobi Metropolis na vitu vya kipuuzi. Jiji la Nairobi lipo kwenye ligi nyingine bana.
 
Acha majungu bana. Kenya tunawaza biashara. Bado hatujafikia hatua ya kuwashobokea wachina. Kuwapa zawadi za wanyama pori wetu kama twiga na kupakiza meno ya tembo kwenye ndege ya viongozi wa China kama mlivofanya nyie watz wakati wa utawala wa msanii wenu kikwete. Tena sijakutusi, unataka kujadili ila hutaki kuelezwa kwamba hujaelewa mada ya uzi huu? Hivi hujasoma na kuelewa kwamba huu mradi ni wa kampuni binafsi ya kikenya na sio wa serikali?
Nimeuelewa vizuri na kujua pia kuna wachina wafanyabiashara ambao watakuja pia sasa mbona huwazungumzii hao pia
Halafu kama ni ujambazi na wizi tunazijua takwimu
Pole jirani lakini mjue tunawapenda hahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Bia na badoo ndio zimekufanya uwe zuzu
Hebu uwe unajipa mda hata saa mbili kwa siku kujisomea kinachoendelea duniani
Pole sana na umaskini
Nimefanikiwa kupita sana Chinatown na kujifunza mengi
Uzuri huku nilipo hakuna vijiwe na hilo ndio tatizo lako kila mtu unafikiri mko nae mbagala


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
sasa ndio umeambiwa hii ya nairobi ndio itakuwa china town...hebu jiongeze..
 
Hio ni shida yao juu hao ndo wanaloose,lakini hawa hapa JF ni mdomo mi nina dem fulani Mtanzania anaishi Loitoktok and anapenda kenya sana,pia hawa ni mdomo tu,lakini ule ukweli wanapenda kenya tu sana,Naambiangwa ukaenda uko wajue we ni mkenya wata ku treat vizuri sana

m nina rafiki mchaga pia...yani anaipenda sana kenya...kila siku wenzake wanasumbua kw simu awape connections waje hku wajitafutie rizki..
 
Kwaiyo mmewatoa kafara wakenya wa turkana
Kweli akili za mkenya hazitofautiani na chizi watu wanakufa njaa lenyewe limevimbiwa githeri linasema waache wajifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
km ufugaji wa msituni ni poa...na wewe pia nenda ukajaribu kuwa mfugaji turkana kw miezi sita tu km hutorudi kwenu tandale...

tukisema jamaa waamke tunawapenda sana...wewe unaishi msituni hutaki maendeleo..leo mko hapa kesho mumeshahamia kwengine..kwnn usitafute mbinu mbadala...mbna wafugaji wa kibantu hawaishi na mifugo yao mwituni....

yani ikija idshu ya njaa kenya ukiona picha au kw news ni wafugaji tu kila mahali...kwnn sehemu zengine za kenya hakuna njaa km ile ya kwao...mbna wao tu kila mwaka
 
No wonder Tanzanians are the unhappiest elements in this region while Kenya is the happiest. Happiness plays a great role in the life of a person.This explains the high life expectancy in Kenya despite all the adversities
@REEDEMER,eliakeem endeleeni kujenga chuki, mtazidi kujengewa hospitali za maradhi ya ubongo na moyo.
Happiness ipo Nairobi tu kwingine ni kilio mfano Turkana
 
You are a fool, you want Stiglier ijengwe Dar kwani kuna river huko? Pipeline enye inatoka Uganda how do you expect it to start from Dar na iishie Dar? Are there gasses in Dar? You need to go and consult a doctor.
Tanzania sisi miradi mikubwa hata haipo Dar, chukulia Uganda pipeline, stiglierz gorge, sgr (destined to dodoma), natural gas project, and so forth lakini Kenya miradi yote ipo Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is Kitale, show me anything like this in whole of Tz
Yeah na ndio maana Tanzania mikoa yote ipo na standardised development talk about electricity, water supply, roads, hospitals, education almost every region they are well off lakini Kenya ukitoka Nairobi kwenda Kitale ni kama umetoka peponi kwenda jehanam

That's why kila mkenya kwenye counties ana ndoto siku moja kufika Nairobi ni kama miaka ya nyuma watanzania kufika South Africa, kuna gap kubwa sana kati ya Nairobi and the rest of Kenya
FB_IMG_15528150378463066.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enyewe wewe ni mujinga tupu, people are leaving Nairobi to mashinani, or outskirts., sio kama nyie mumejazana Dar, population kubwa ya maskini, watu wanaranda randa mjini na kuzubaa kwenye beach., mashinani balaa!!., Tuko na majimbo yani mfumo wa ugatuzi, hapa hamtufikii, pengine mubadili mfumo ama mtindo wa utawala;
"..a fool, like Tanzania, does the same things again and again, expecting different results.." CCM haitowakomboa kamwe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti sisi tumejazana Dar? You must not be serious, naomba population density ya Nairobi in relation to the geographical area versus Dar 😂😂😂😂 sasa mngekua na magnitudes of slums everywhere?
 
Buda you crazy,their other dope counties kuliko nairobi,ni venye nairobi iko over rated so ni hard zingune kujulikana,Kisumu,Nakuru,Eldoret,machakos,Thika,nyeri,nanyuki,Mombasa,lamu ,malindi,Voi aki wahh buda tembea kenya ni kubwa and all counties are developed,Maybe north eastern ndo iko chini but the rest ziko very developed hata Dar na Arusha hazifikii hizo town zote nime least,ka huamini tembea Voi,ama Nakuru ndo utajua what am saying
Nyie wenyewe mnaenda arusha and moshi as your best tourist destinations in Tanzania achilia Dar Mwanza and Zanzibar hiyo ina maana hayo maeneo ni best kuliko Kenya.
 
Back
Top Bottom