Kenya Airways To Double Fleet in 5 Years

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
4,316
3,683
KQ is on the move.
As 'na pesa yetu' plans to add 2 planes with money diverted from matters of national importance, the pride of Africa is aiming for 40 planes within the next 5 years.

It just shows the different kind of levels these two airlines operate.

Small airlines have small ambitions. The CEO of ATCL would not even open his mouth and claim they'll add 10 planes without looking like a mad man.

But when KQ chairman talks, everyone pays attention.

From now on, it will be an insult to put ATCL in the same sentence with KQ.

 
Tunapokea Ndege mpya Tena dreamliner mwasi wa November. Nyang'aus hamjui nyinyi na hizo Ndege zenu tatu. Tunaenda Mumbai mpende msipende ama vipi redeemer ?
 
Watu wananunua ndege 10 cash kwa pesa za ndani kipindi cha miaka minne tu hawa kq wasilete masihara na atcl

Juzi Magufuli ameongea kuhusu 'pesa za ndani'. Akachanganya na pesa za mkopo.
Kumbe mpaka mkopo mnaita pesa zetu.. 😂 😂
 
Wapi ndege hata moja owned by GoK?
Even those 3 old planes are owned by KQ not GoK
😂 😂 niaje wewe mjinga wetu wa JF.

KQ is a company. The government is just a shareholder. All 41 planes belong to KQ and NOT the government. Your argument is stupid and reckless. Alafu nadhani umesoma taarifa...KQ wanamiliki 41 planes. In five years wanataka ku double. 41×2 kwa hesabu ya kitanzania inakuja ngapi? 😂
 
Sawa.mdogomdogo hata ATCL Ita double tuu tje current fleet to 12 in one year
 
The Pride of Africa has a fleet of 41.
We are aiming to double that to 80+ in 5 years.

That's the only thing you need to know.
Kweli akili zenu matope. Hivi hizo mnadouble za nini wakati zilizopo zimewashinda kulupia mkopo na hazina kazi mpaka mmeamua kuwakodisha Turkish kwa bei ya hasara.
 
Kweli akili zenu matope. Hivi hizo mnadouble za nini wakati zilizopo zimewashinda kulupia mkopo na hazina kazi mpaka mmeamua kuwakodisha Turkish kwa bei ya hasara.

Wewe na ujinga wako, unadhani mkopo unalipwa wote pamoja.
The Pride of Africa honors its debt obligations. Kila mwaka deni ambalo linafaa kulipwa huo mwaka, linalipwa.

Na sub-leasing ni jambo la kawaida. Inaleta revenue zaidi kwa KQ.
Ndege tatau ambazo tumefanya sub-leasing, zinaleta pesa mingi kuliko revenue yote ya ATCL.
 
Back
Top Bottom