Hizi sio habari njema za kufurahia
mulisaaa naelewa unautani sana na hawa jamaa zetu. Kumbuka KQ imekua msaada sana tulipokua hatuna ndege, ushirika wai na PA umetoa huduma muhimu sana kwa wananchi wetu kwenye usafiri wa anga.
Kama wakongwe mambo yanawaendea kombo, tumejipanga ipasavyo kuhakikisha na sie ndege zetu haziishii kushindwa kufanya biashara?