Kenya Airways In Danger of losing its position in the AFRICAN MARKET...๐Ÿšซ๐Ÿšซ๐Ÿšซ

mulisaaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,958
6,989
KAfrica kajipange...Kenya Airways iko ICU. CEO kasema.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hizi sio habari njema za kufurahia mulisaaa naelewa unautani sana na hawa jamaa zetu. Kumbuka KQ imekua msaada sana tulipokua hatuna ndege, ushirika wai na PA umetoa huduma muhimu sana kwa wananchi wetu kwenye usafiri wa anga.

Kama wakongwe mambo yanawaendea kombo, tumejipanga ipasavyo kuhakikisha na sie ndege zetu haziishii kushindwa kufanya biashara?
 
And replaced by ALREADY DEAD ATCL
1544098515015.png
 
Hizi sio habari njema za kufurahia mulisaaa naelewa unautani sana na hawa jamaa zetu. Kumbuka KQ imekua msaada sana tulipokua hatuna ndege, ushirika wai na PA umetoa huduma muhimu sana kwa wananchi wetu kwenye usafiri wa anga.

Kama wakongwe mambo yanawaendea kombo, tumejipanga ipasavyo kuhakikisha na sie ndege zetu haziishii kushindwa kufanya biashara?
Tatizo la KQ ni corruption ileyopelekea wa lease ndege. Faida yote anakula KLM๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndio ni sahihi....!!
Unajua watu hawafahamu flexibility ambayo JPM ame-accord Air Tanzania. Watakuja jua tutakapoanza kwenda intercontinental maana Air Tanzania will have a bigger room to manoeuvre fareprice than KQ as no debt obligations are facing ATCL.

For instance where KQ charges $700; Air Tanzania will be able to charge $550. This same modal made Emirates n Qatar Airway be where they r.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom