kina Tyga, Big sean, J.cole, 2 Chainz, Wale, Meek mill etc coz wote hao ni "MAINSTREAM RAPPERS" hawana influence yoyote ile kwenye jamii inayowazunguka, coz wanachofanya wenyewe ni BUSINE$$ ambapo ni dhambi kuwafananisha na rappers ambao hawajaAim katika "Mainstream Rap"