Ni kweli tena serikali lazima waingilie kati suala la makanisa na misikiti kupaza sauti kuhubiri.....lazima sheria itolewe kwa yeyote atakayevunja hii sheria ya kuwapigia watu kelele wakiwa wamelala majumbani mwao, tunataka Amani majumbani mwetu tafadhali. Mungu hajasema popote pale wapigieni watu kelele ili muwaaminishe neno langu, never. Kingine, na wauza CD za nyimbo za ngonjera za dini nao wakamatwe pia, wapigwe viboko vya taa si chini ya 200 na kulazimishwa kunywa glass ya maji ya cement. Serikali, wananchi tumechoka kulazimishwa kusikiliza mawaidha ya dini zisizo zetu.Naomba mamlaka ziliangalie na kulitafutianufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huubwa ajabunkabis ninkero kubwa kwa raia na inaathiti sana utulivu wa moyo na akili.
Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele.
Kelele hizi zinatokana na matimizi ya vipaza sauti vinavyotumika hovyo.
Maeneo husika ni
1. Wahubiri walioenea mitaani hasa nyumba za ibada zilizojengwa mitaani kwenye makazi ya watu wanatumia vipaza sauti muda wote.
2. Wahubiri wanaweka vipaza sauti mitaani na katika vituo vya mabasi bila kudhibitiwa. Mfano ni stendi ya daladala ya Mbezi Luis. Tena wengine wanakusanya hela kwa kutishiaabiria kuwa wasipotoa sadaka watawaombea wapate mabalaa.
3. Vipaza sauti vya wafanyabiashara wadogowadogo zilizotundikwa kila Kona.
Naziomba mamlaka zinazohusika wakiwemo Halmashauri ya Ubungo, Mkuu wa Mkoa na NEMC waingilie kati suala hili na kulipatia ufumbuzi.
Tunayo haki ya kuishi mazingira salama na ya utulivu.
Mpango wa kuwapanga wamachinga uhusishe pia udhibiti wa sauti za makelele zilizoenea mitaani.
Miji safi na tulivu kwa ustawi wa wakaazi na wageni!
Wala sio udini. Wenzetu waislam sala zao ziko scheduled.NIMESOMA UZI WOTE ILA SIJAONA SEHEMU UKIONGELEA VIPAZA SAUTI VYA MISIKITI
Acha udini mkuu
Kwani kuna mtu alienda msikitini kuomba awe anaamshwa?Wala sio udini. Wenzetu waislam sala zao ziko scheduled.
Kwanza adhana inasaidia hata kutuamsha kwenda kanisani asubuhi.
Sisi wakristu ndio tumekuja na mashindano ya kutafuta riziki kupitia injili kila kona kuna mhubiri kashililia kibeseni KUOMBA hela.
Mahubiri yamekuwa ni fujo za KUOMBA hela na kuuziana baraka na miujiza.
Ukishaweza kwenda Kariakoo kununua spika na amplifaya tayari wewe ni mchungaji unachukua kibakuli unawaombea watu unachangisha hela.
Poor Africa!!!
Serikali tusaidieni. Miji imejaa kila aina ya kelele kama kiwanda au kilabu cha komoni!!
Alikuwa rafiki yangu Mjerumani akanitania kuwa hawezi kupata utulivu wa akili kwa kelele hizi.
Sijakuelewa?Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili.
Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya.
Kelele hizi zinatokana na matumizi ya vipaza sauti vinavyotumika hovyo bila utaalam.
Maeneo husika ni pamoja na:-
1. Wahubiri walioenea mitaani hasa nyumba za ibada zilizojengwa mitaani kwenye makazi ya watu wanatumia vipaza sauti muda wote.
2. Wahubiri hawa wanaweka vipaza sauti mitaani na katika vituo vya mabasi bila kudhibitiwa. Mfano ni stendi ya daladala ya Mbezi Luis. Tena wengine wanakusanya hela kwa kutishia abiria kuwa wasipotoa sadaka watawaombea wapate mabalaa huko mjini waendako.
3. Vipaza sauti vya wafanyabiashara wadogowadogo zilizotundikwa kila Kona. Mfano wanaosajili line za simu, wauza dawabza mende na kunguni, wauza madawa ya kuongezea nguvu za kiume,n.k.
Naziomba mamlaka zinazohusika wakiwemo Halmashauri ya Ubungo, Mkuu wa Mkoa na NEMC waingilie kati suala hili na kulipatia ufumbuzi wa kudumu. Pia waangalie huu uingizaji holela wa maspika.makubwa ya kichina ambayo watumiaji wengi wana abuse.
Tunayo haki ya kuishi mazingira salama na ya utulivu.
Mpango wa kuwapanga wamachinga uhusishe pia udhibiti wa sauti za makelele zilizoenea mitaani.
Miji safi na tulivu kwa ustawi wa wakaazi na wageni!
U
Naunga mkono hoja.Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili.
Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya.
Kelele hizi zinatokana na matumizi ya vipaza sauti vinavyotumika hovyo bila utaalam.
Maeneo husika ni pamoja na:-
1. Wahubiri walioenea mitaani hasa nyumba za ibada zilizojengwa mitaani kwenye makazi ya watu wanatumia vipaza sauti muda wote.
2. Wahubiri hawa wanaweka vipaza sauti mitaani na katika vituo vya mabasi bila kudhibitiwa. Mfano ni stendi ya daladala ya Mbezi Luis. Tena wengine wanakusanya hela kwa kutishia abiria kuwa wasipotoa sadaka watawaombea wapate mabalaa huko mjini waendako.
3. Vipaza sauti vya wafanyabiashara wadogowadogo zilizotundikwa kila Kona. Mfano wanaosajili line za simu, wauza dawabza mende na kunguni, wauza madawa ya kuongezea nguvu za kiume,n.k.
Naziomba mamlaka zinazohusika wakiwemo Halmashauri ya Ubungo, Mkuu wa Mkoa na NEMC waingilie kati suala hili na kulipatia ufumbuzi wa kudumu. Pia waangalie huu uingizaji holela wa maspika.makubwa ya kichina ambayo watumiaji wengi wana abuse.
Tunayo haki ya kuishi mazingira salama na ya utulivu.
Mpango wa kuwapanga wamachinga uhusishe pia udhibiti wa sauti za makelele zilizoenea mitaani.
Miji safi na tulivu kwa ustawi wa wakaazi na wageni!
U
Acheni injili ihubiriwe
Wahubiri hawa wanaweka vipaza sauti mitaani na katika vituo vya mabasi bila kudhibitiwa. Mfano ni stendi ya daladala ya Mbezi Luis. Tena wengine wanakusanya hela kwa kutishia abiria kuwa wasipotoa sadaka watawaombea wapate mabalaa huko mjini waendako.[emoji23]Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili.