ngosha mchele
Member
- Dec 7, 2014
- 71
- 40
Nisaidieni namna yakukwepa ugomvi wa mara kwa mara ndani ya nyumba,dah mtu ukimuuliza kitu kidogo tu maneno yake majibu yake duh unatamani ardhi ipasuke uingie ndani,wanawake wa kizazi hiki nani kawaroga?? Muwe na akiba ya maneno,hivi kumzidi kipato mumeo ndo kumfanyia dharau??

