Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,053
- 4,595
Mh kweli JF imeingiliwa na vidudu. Hapa sielewi nini umemaanisha. Ndiyo maana watu wanaamini kila kitu. Lowasa na Sumaye viongozi waandamizi serikali za awamu ya tatu na nne bila aibu walizunguka nchi nzima kusema serikali ya ccm haijaleta kitu as if wao walijua upinzani miaka yote.Naweka kumbukumbu vizuri humu ndani ili wachangiaji mjadili kwa makini na siyo mihemuko ya kisiasa.
Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu , hakugombea uwaziri Mkuu aligombea urais. Kama angejiuzulu urais akarudi tena kutuomba urais hapo ningeungana na mh.Kessy