functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 795
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee... Yani unaanza kutaka mrejesho wake kwanzaUmefanya kwa mda gani mpaka kuona matokeo mkuu?
Yes mkuu si unajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee... Yani unaanza kutaka mrejesho wake kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya two weeks kwa siku fanya kwa Dk 5 asubuhi na jioni dk5Yes mkuu si unajua
[emoji23][emoji23]vipi mkuu?
Wacha niscreenshot kwa ajili ya babe[emoji23]
hahahaha ,Mpe pole pia kidume mwenzetu uyo.
Unabana kwa sekunde 5 alafu unaachia unapumzika sekunde5 then unabana tena sekunde5 na si lazima Dk 5 mfululizo ukifanya dk5 unaweza kuwa umekaa oficni ukabana tena sehemu yoyote uliyotulia au kupiga story unaweza fanyaKwa hyo dk 10 kwa siku au?
Na kubana nabaka kwa sec ngapi?
Na kuachia naachia kwa sekunde ngapiii?
Unabana kwa sekunde 5 alafu unaachia unapumzika sekunde5 then unabana tena sekunde5 na si lazima Dk 5 mfululizo ukifanya dk5 unaweza kuwa umekaa oficni ukabana tena sehemu yoyote uliyotulia au kupiga story unaweza fanya
Sent using Jamii Forums mobile app
We gonga Kegel, usiwe mvivu, na usiwe na deadline baada ya muda flani, utashangaa mwenyewe,..Your my wife wako atakukimbia kwa shoo.Any update?