ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,111
- 40,421
Another trash in the building!๐ฎ๐ฎNyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki ๐
naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia
Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi ๐ญ ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys
Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? ๐ญ
Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu
Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu ๐ญ debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani
Mwisho kabisa ๐ kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ noma sana
ShesRise_1
Kwenye kundi la takataka za JF wewe hukosekani unakaa Kwenye siti ya mbele kama ulivyojleta mbele hapa so sehem yako ni hapa ๐๐ kaa humo hayo ma trashed mawili yanakutoshaAnother trash in the building!๐ฎ๐ฎ
Siwezi kufanya huo usenge niamini mimisio kwamba ni mtu mmoja anajitekenya na kucheka?
๐๐๐Kwenye kundi la takataka za JF wewe hukosekani unakaa Kwenye siti ya mbele kama ulivyojleta mbele hapa so sehem yako ni hapa ๐๐ kaa humo hayo ma trashed mawili yanakutosha
OkSiwezi kufanya huo usenge niamini mimi
Upumbavu tu wanaofanya chungu uliiona wapiHaha inaelekea she Rise yako ni tamu mnoo
Umewaza kama mimi, usimuamini mtu kabisa hasa humu JF ya anonymitysio kwamba ni mtu mmoja anajitekenya na kucheka?
OvyoNyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki ๐
naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia
Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi ๐ญ ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys
Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? ๐ญ
Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu
Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu ๐ญ debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani
Mwisho kabisa ๐ kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ noma sana
ShesRise_1
๐๐ฎOvyo
๐๐Umewaza kama mimi, usimuamini mtu kabisa hasa humu JF ya anonymity
Ungeanza kwanza na kuweka huo upuuzi wako kwanza uliouandika๐๐
Ni kweli, kama mimi nilivyofanya kwa kipenzi changu Aaliyyah halafu nikakaa zangu kimyaHii n trending ya Wapumbavu, walianza na wengi wakamfikia Seran na sasa n zamu yako.
Hao wote wanaanzisha hizo mada ni Wapumbavu tuu, mtu umempenda Nenda pm kausha huko
Mada zote Hizo Wekeni humu ๐๏ธ
Kubishana na wewe ni kama kubishana na kichaa ๐ฎ๐ฎUngeanza kwanza na kuweka huo upuuzi wako kwanza uliouandika
Kichaa ni baba yako mzaziKubishana na wewe ni kama kubishana na kichaa ๐ฎ๐ฎ