Huo mshahara Kizigha kama we unapewa una mke na mtoto mmoja utakutosha? Assumption is mkeo hafanyi kazi we ndo una supply mahitaji kitaa kuanzia ya mama mpaka ya mtoto na rent juu na misosi na michango ya kifamilia na hizi harusi za siku hizi za voda fasta na hospitali, makato ya LUKU, maji, hela ya vocha, fungu la 10 kanisani ama msikitini, nauli za kazini na .......................................................
Utakutosha?