huwezi kujiajili bila kuanza kuajiliwa, hiyo laki moja unayosema nani atakupa ndugu?hata bank atakukopesha nani wakati huna hata dhamana?mtu ndo umemaliza chuo huna kazi wala chochote, utaazeje kufungua tuition centre wakati hata hela ya pango huna? mambo siyo rahisi kama unavyosema unless upate sehemu uajiliwe then mawazo kama hayo yatawezekana