therealjoh
Senior Member
- Dec 21, 2016
- 108
- 88
Umejaribu kutuliza akili na kusoma vyema?[emoji23][emoji23][emoji23] Maamae [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu anaanzisha mada ya kuomba kazi na yeye mwenyewe anajipa connection ya kazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli ukifa kwa msongo wa mawazo umejitakia mwenyewe
Tatizo umeanzisha mada the una "quote" kujijibu ndo mana jamaa apo jibu kakwambia alicho semaUmejaribu kutuliza akili na kusoma vyema?
Au umeamua kuipumbaza akili kwa kuona kila kitu ni utani?
Next time soma,fikiri,chambua then ukipata jibu sio hasara ukanyamaza.
Maana pengine ukiongea/kutoa jibu watu wataelewa kiasi cha uwezo wako wa kufikiri.
Ahsante.
Nime quote way ya mawasiliano coz sikuweka kwenye bandiko.Tatizo umeanzisha mada the una "quote" kujijibu ndo mana jamaa apo jibu kakwambia alicho sema
Tusiwe wavivu kwenye kufikiri na kung'amua maana ya jambo.Tatizo umeanzisha mada the una "quote" kujijibu ndo mana jamaa apo jibu kakwambia alicho sema
Sawa bossUmejaribu kutuliza akili na kusoma vyema?
Au umeamua kuipumbaza akili kwa kuona kila kitu ni utani?
Next time soma,fikiri,chambua then ukipata jibu sio hasara ukanyamaza.
Maana pengine ukiongea/kutoa jibu watu wataelewa kiasi cha uwezo wako wa kufikiri.
Ahsante.
Tozo la miamala limechanganya watuπππ Maamae πππ
Mtu anaanzisha mada ya kuomba kazi na yeye mwenyewe anajipa connection ya kazi πππ
Kweli ukifa kwa msongo wa mawazo umejitakia mwenyewe
Anasema amesahau kuweka mawasiliano yake kwenye mada hvy ameamua kuweka kwenye comment kwa kuji-replyTozo la miamala limechanganya watu
πππAnasema amesahau kuweka mawasiliano yake kwenye mada hvy ameamua kuweka kwenye comment kwa kuji-reply
Nafikiri ni uelewa tu wa namna mambo yanavyo fanywa kubali ulichemka kufanya uliyo fanyaTusiwe wavivu kwenye kufikiri na kung'amua maana ya jambo.