Kazi za Ulaya

Kazi za Ulaya

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Ulaya unaweza kutuma CV zako za kuomba kazi sehemu mbali mbali. Yaani ukatuma CV hata 20

Siku ambayo mmoja atakupigia simu ndio siku ambayo wote watakupigia simu
Siku hiyo hiyo hivo ndio unachanganikiwa sasa uende wapi na uache wapi
Hivi hua ni kwanini wenzangu?

Maana mimi hua sielewi usijekuta ndio wanatupima amini kabisa

Kama mimi hivi nilipata kazi yangu nzuri ya dollars 23 kwa saa

Kazi yangu ya zamani ambayo nilikuwa nawapigia simu nirudi kazini nao jana wamenipigia ni rudi kazini
Hawa watu wanatupima imani au vipi

Au ni kwangu peke yangu ndo kuna tokea mambo kama hayo wenzangu naombeni mnijibu
 
Ndo unatufahamisha kuwa uko Ulaya...? We Uko Ulaya ya pande zipi mwenzetu tujuane...
 
Back
Top Bottom