NGOGO CHINAVACH
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 943
- 373
Wanajamii naomba kujuzwa nafasi za kazi ya ualimu katika shule za serikali kwa wale waliomaliza stashahada ya kwanza ni lini?
mwakani mwezi ka huu..
<br />@RWEYE na WANAJAMII namaanisha walimu waliomaliza degree ya kwanza ya ualimu
<br />
<br />
sema teacher!