wadau......ni mwezi may.....hawajamaa walitoa nafasi za kazi.....lakini hadi sasa sijapata kujua.....kama wameishaita interview.....kwa mwenye taarifa wakuu......!
hahahahahahahahaha........jamaa wapo kimya sana......ngoja tujipe muda.......na vipi hawa muhimbili nao kunakipindi walitoa.........sijui ulikuwa wa pili ule......unadata zozote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.