Kazi za mtandaoni (online jobs)

Kazi za mtandaoni (online jobs)

Kadege jr

Member
Joined
Dec 14, 2020
Posts
5
Reaction score
3
Habarini za mchana kwa yoyote aliwahi kufanya kazi au anayefanya kazi za online naomba anisaidie jinsi ya kuomba kuomba hizo kazi.
 
Habarini za mchana kwa yoyote aliwahi kufanya kazi au anayefanya kazi za online naomba anisaidie jinsi ya kuomba kuomba hizo kazi.

Nadhani hizi thread za hawa magwiji zitakusaidia mkuu
 
Unataka uende ukazifanye physically maana naona hauendani kabisa na kuwa online
 
Back
Top Bottom