cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,809
Kujiajiri uchumi huu?labda ukasaidie kujenga SGR au StiglersSolution ni kujiajiri tuu...
Kujiajiri kuna raha yake ila sasaa yakupasa uwe na roho ngumu na ujikane mwenyewe mchana kweupeee...
Na mkeo naye kuna mtu ana mla.Kuna mtumishi mmoja hivi amepangiwa kazi Arusha alikuwa huku Manyara ninakula mkewe kila siku.
ndio si kila sehemu ni ngumu ktk uchumi huu, kuna sehemu watu wanatengeneza hela kama kawaidaaKujiajiri uchumi huu?labda ukasaidie kujenga SGR au Stiglers
Hilo ni janga kwa ustawi wa familiaMfano
Kuhamia Dodoma ni janga kwa familia za watumishi
Watu hawana utulivu maofisini si Dar,si Dodoma
Who should be blamed?nini kifanyike?
Na mkeo naye kuna mtu ana mla.
Mla cha mwenzie na chake huliwa.
Mkuu tatizo sio kujiajiri ama kuajiriwa,tatizo analolizungumzia mtoa mada ni kuwa mbali na familia kwa mda mrefu.Solution ni kujiajiri tuu...
Kujiajiri kuna raha yake ila sasaa yakupasa uwe na roho ngumu na ujikane mwenyewe mchana kweupeee...
ukiwa umejiajiri unakuwa na uhuru angalau wa kuwa karibu na family au kuihamishia kabisa huko ulikowekeza. Kama ulishatengeneza family then ghafla muanze kuishi mbalimbali hapo hakuna family tenaaaMkuu tatizo sio kujiajiri ama kuajiriwa,tatizo analolizungumzia mtoa mada ni kuwa mbali na familia kwa mda mrefu.
Yawezekana umejiajiri ama kuwekeza mkoa ulio mbali na inaposhi familia yako,hivyo inapokuwa haupo uharibifu wa familia ndio unafanyika.