Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Imekuwa shida kubwa kwa wawekezaji na Mameneja wa Mahoteli ya Kitalii.
Wa Tanzania wote karibuni, kwani imekuwa aibu hadi wawekezaji wana lazimika kuchukua Wakenya kwa gharama kubwa.
Tatizo hili lipo kwa sababu Wazanzibari wengi wanaishi Zanzibar Town, hawataki kwenda kuishi Shamba, eti Shamba ni Zile Beach 30 Km from Town, huko ndiko mahoteli yaliko na watalii huko vijijini ni wengi mara 5 Wana nchi, na huko ni vijijini elimu ni ndogo na pia kijana wa kijijini yuko radhi arande na Ngalawa beach na kupakia watalii kwa dola 5 kuliko kuajiriwa.