Mahakama wametoa nafasi za kazi angalia hata gazeti la leo mwananchi.
Mahakimu kwenye 51
Msaidizi wa Majaii 1
Wasaidiz wa kumbukumbu 47
Makatibu Mahsusi 11
Walinzi 57
wahudumu
madereva
hata kama figure nimekosea kwa vile nimesoma asubuhi ila ukitaka sifa ndio tafuta gazeti.