YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Niulize wakuu hivi kazi za mabalozi wa Ulaya na marekani Tanzania ni zipi? ya kwanza ninayojua ni wagonga mihuri ya visa kwenye passport.Ya pili ni wanasiasa wa upinzani ambao kama UKAWA wanavyotoa matamko mbali mbali ya kisiasa nao hukutana na kutoa matamko mbali mbali ya kisiasa ya kipinzani kwa serikali yawe ya katiba mpya,uchaguzi mkuu nk Utakuta wanachoongea UKAWA na wao utakuta wanadakia hicho hicho.
Hizi ndio naona ndizo kazi zao au kuna zingine?
Hizi ndio naona ndizo kazi zao au kuna zingine?