Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Mkuu usihangaike tumeambiwa DP World wanaleta fursa ya ajira na nchi yetu itakuwa ya asali na maziwa.Wakuu mliopo mjuu naomba mtupe ndondondo za maisha ya kujitafuta kwa njia ya kupiga box visiwa vya malta.
Kazi za aina iyo zipo?
Kama zipo za je mgeni anaweza kutumia makeke gani kuzipata?
Na je mazingira ya kuzamia katika visiwa hivyo yanaruhusu?
Je malipo yake inakuwaje kulinganisha na DP WORLD( uarabuni)?
Wako katika kujitafuta
Sa 7 mchana
Sio kila mtu ataajiriwa kule mana hata TICTS haikuajiri watu wote.Mkuu usihangaike tumeambiwa DP World wanaleta fursa ya ajira na nchi yetu itakuwa ya asali na maziwa.
Taarifa nyingi mtandaoni ni za kupikwa na nyingi uwa ni generally, taarifa nayoitaka mimi ni very specific kama lilivyouliza.Taarifa zote ulizouliza zipo kiganjani kwako, google hicho kisiwa na fursa zake kwa wageni, uchumi wake, n.k utajionea, isije ikawa kama Mrundi anazamia Zanzibar.