habari wadau..
nimekubali kuanzisha biashara yako na kusimama mpaka ikue kubwa inahitaji akili nyingi kuliko kuwa professa au ceo wa shirika lolote..
zamani kabla ya teknlojia kukuwa waajiriwa walionekana muhimu sana kiasi hata ukifariki. mwajiri anapasuka kichwa jinsi ya kukureplace pengo lako.
zama hizi... magufuli akiamua anafukuza tanesco wote na bado haimchukui wiki shirika linarudi na new face na linasonga..
angalia jinsi alivyofukuza na kutumbua wengi lakini mambo yanaenda..
nawaza tu mtu kama diamond kuanzisha wcb kichwani mwake na kuisimamisha hadi kuwa kampuni unayotingisha africa ni ametumia akili nyingi kuliko prof muhongo kusoma au kimei crdb... nina imani hata angekuwa kaajiriwa bosi asingeweza kumtumbua diamond maana anajua akiondoka diamond wcb nayo inakufa... ila kimei akiondoka crdb.. bado crdb haitokufa