Kazi za kiume

Duh unavaa kiatu hauta ukumbuki ulikivaa lini
 
Na tena sio wanaume wote...
 
Ya limkuta rafiki yngu baada ya kuwaona mijeda wakiwa na gwanda zao akasema "wanaume haooo wanapta" alisema hvyo mbele ya kaka yake ambae ni askari polisi kilichofuata alimuita ndani ya nyumba na kumuuliza km wale ni wanaume sisi ni akina nani alipewa kichapo had majirani wakaja kumuokoa
 
Mmmm naipenda hii kazi lkn aaa heeeee basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…