hero de mmar JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 470 Reaction score 108 Jul 7, 2015 #1 habari wakuu. samahani nauliza kwa anayefahamu mshahara wa mfanyakazi wa kawaida (mpishi, dobi, mfanya usafi e.t.c) kwenye camps za watalii (national park's) anijuze please
habari wakuu. samahani nauliza kwa anayefahamu mshahara wa mfanyakazi wa kawaida (mpishi, dobi, mfanya usafi e.t.c) kwenye camps za watalii (national park's) anijuze please
sere1976 Member Joined Jun 14, 2015 Posts 6 Reaction score 2 Jul 7, 2015 #2 Inategemea na kampuni, ila nyingi huwa wanaanzia 180
hero de mmar JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 470 Reaction score 108 Jul 7, 2015 Thread starter #3 sere1976 said: Inategemea na kampuni, ila nyingi huwa wanaanzia 180 Click to expand... asante mkuu