change we need
Member
- Aug 10, 2011
- 81
- 9
Nakubaliana na wewe Mkuu. Kazi ya kudhibiti kwa kweli haionekani. Inaweza kuna ni jina la cheo tu. Taasisi anayoiongoza inaitwa "National Audit Office".Hivi huyu tunaemuita CAG kwa maana ya mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali,ni kweli anakagua na kudhibiti au anakagua tu?
Kwa maneno mengine,kama sheria inamruhusu kukagua na kisha kutoa mapendeze yake tu,nini sasa anachodhibiti hapa?
Nafikiri jina sahihi kutokana na hali halisi iliyopo,huyu CAG wa sasa anastahili kuitwa "Auditor General" tu wa serikali na si huku kumvika "kilemba cha ukoka" kama ilivyo sasa.
Hivi huyu tunaemuita CAG kwa maana ya mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali,ni kweli anakagua na kudhibiti au anakagua tu?
Kwa maneno mengine,kama sheria inamruhusu kukagua na kisha kutoa mapendeze yake tu,nini sasa anachodhibiti hapa?
Nafikiri jina sahihi kutokana na hali halisi iliyopo,huyu CAG wa sasa anastahili kuitwa "Auditor General" tu wa serikali na si huku kumvika "kilemba cha ukoka" kama ilivyo sasa.
Tukiwa Mwanza katika kikao cha kutoa maoni ya katiba mpya tulikubaliana kuwa CAG abaki kuwa Auditor General tu.hili kwenye katiba mpya halikuzingatiwa.Wenzetu AFRO-SAI wamejitoa katika Controlership.
Nafikiri swala la udhibiti halina uhusiano na uhuru. Hawezi kudhibiti kwa sababu anakagua baada ya kuwa fedha zimeshatumika. Angekuwa anakagua kabla malipo hayajafanyika basi angeweza kudhibiti. Kwa hiyo ofisi hiyo ni bora ikaitwa AuG yani Auditor GeneralAngeweza kuwa Controller kama angekuwa 99% or 100% Independent.Na kwa hali ilvyo alitakiwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi wa fedha za serikali na mashirika ya Umma.Na pia anayohaki ya kufanya Audit kwenye makampuni na mashirika ya nje.
Cha kujiuliza UHURU anao?Je tunafuata misingi na sheria za utawala bora uliotukuka?Nchi nyingi za kiafrika watendaji wanawaogopa sana wanasiasa hasa walioko kwenye UTAWALA.
Huyu CAG kama akiteuliwa Rais na Bunge likafanya blessing then hata Mahesabu yake yangekuwa yanatoka kwa CAG na kwenda moja kwa moja bungeni.
Kaka Salaryslip jiulize swali dogo tu wakati ukisubiri majibu ya kuudhi toka kwetu............
Bunge letu liko HURU?Wabunge?Maspika na wenyeviti wa Bunge je?
Ukipata majibu basi hata swali lako la CAG utapata jibu zuri japo la kuudhi.
Nafikiri swala la udhibiti halina uhusiano na uhuru. Hawezi kudhibiti kwa sababu anakagua baada ya kuwa fedha zimeshatumika. Angekuwa anakagua kabla malipo hayajafanyika basi angeweza kudhibiti. Kwa hiyo ofisi hiyo ni bora ikaitwa AuG yani Auditor General