kazi za bongo bwana

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Habari zenu wakuu,katika hili jukwaa nimekuwa nikitoa tangazo la kuomba nafasi ya kuvolunteer,Lakini cjafanikiwa kupata kama ni barua nimezipeleka kwenye kampun kadhaa lakn mpaka sasa naona kimya....Au mpaka nitoe mshiko wadau kwan inawezekana mkono mtupu haulambwi nini
 

oh mjini spa!
 

utapata tu muda sahii ukifika! usitoe rushwa kupata kazi,amini Mungu anaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…