karv JF-Expert Member Joined Dec 26, 2019 Posts 1,801 Reaction score 3,272 Dec 24, 2021 #1 Habari za wakatii huu Naomba kujua umuhimu wa hiyo kitu pichani inakazi gani au ina faida gani kwa wachezaji Ahsante
Habari za wakatii huu Naomba kujua umuhimu wa hiyo kitu pichani inakazi gani au ina faida gani kwa wachezaji Ahsante
Abu-Irfan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 379 Reaction score 330 Dec 24, 2021 #2 Baadhi huwa wamevunjika mifupa inayojenga uso (facial bones) kama mfupa wa pua na mengineyo. Wanatumia hizo ili kuwakinga wasiumie zaidi.
Baadhi huwa wamevunjika mifupa inayojenga uso (facial bones) kama mfupa wa pua na mengineyo. Wanatumia hizo ili kuwakinga wasiumie zaidi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,632 Reaction score 197,299 Dec 24, 2021 #3 Action figure...